Nyie ndo mnakuja kusumbua Vijana wasio na Hatia baadaye...!Nlitaka kuprove pia kama Yuko tayari kunipoteza
Pole mkuu. Na usifikie hatua ya kujidhuru. Kwanza tambua sio fungu lako na kubali kuanza upya. Jipe subira na ishi maisha yako kwa kuamini utampata wako. Kubwa zaidi jitunze.Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Huko Juu kuna kuachana wiki 3,hapa chini kuna siku 5 ??Hello wakuu,

Point kubwa sana hii, hawa viumbe wana shida sana.Katika suala la mapenzi, maamuzi yoyote ya mwanaume hayapaswi kuhojiwa na mtu yeyote. Ni kukubali na kuunga mkono. Endelea kusubiri hapohapo usihoji wala kulalamika.
Sms inasemaje mkuuPoint kubwa sana hii, hawa viumbe wana shida sana.
Kuna binti nipo nae kwa mahusiano kama miezi mitatu hivi. Jana kakomaa sana kuja kwangu kisa hayupo kazini leo. Nikamkubalia ila kwa kumpa tahadhali kwamba mimi nipo na viporo vya kumalizia akasema poa.
Leo kaja mimi nipo busy na mishe zangu et kanuna imefika saa sita akadai nimrudishe kwake. Nikamkimbiza kama kichaa nikamdrop nakarudi kuendelea na shughuli zangu.
Katuma txt kama gazeti sijajibu chochote na sitegemei kujibu mpaka siku nikikutana nae macho kwa macho hamna rangi ataacha kuona.
Yaani nyie wanawake bhana mna vituko, wakati mwingine huwa mnafikiri wanaume ni wa kujaribiwa Jaribiwa tu. My Sis Kuna mambo mengi watu huwa wanapitia mm nadhani ungetafuta sababu ya yeye kukaa kmya, na kama ungeikosa ungechukua mda angalau basi hata mwezi mmoja then ndiyo ungeangalia kama kutuma hivo Vi-SMS Vya kumtisha kuachana, but in right way hutakiwi kufanya hivyo.Aibu nishaipata sababu mahusiano yetu yalikua open Sana
Umesema vyema Palina ,inauma lakini atazoea tu...ila wanaume bwana kisa cha kumuweka mwenzie kny psychological torture ni nini??achana nae jitahidi na wewe usimtafute
kula vizuri jipende na jipe furaha mwenyewe siku yaja utapata anaejali hisia zako 🙂↔️🙂↔️
Kisha ushauri gani tenanikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu
Usijidhuru ni pm nikwambie kituHello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Chai mbona kavu tulikubali ya moto ila si kavu namna hiiMkuu hii message YA kuumia Na ukimya wake nlishamtumia Na nlijieleza Sana jinsi gan hii Hali inavoniumiza maumivu nayopitia nilimweleza hisia zangu za ndanu kabisa Na jinsi navoteseka Na kuumwa ulcers sababu ya mawazo...........lakinini hakunijibu kitu
Mshukuru Mungu kwa yote, nawa mikono anza upya. Binadamu hubadilika, move on.Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Alikuwa anatikisa kiberiti kama kuna something, kabigwa backfire na kitu kizito kichwani.Wanawake bwana, sababu za kuandika "tuachane" wakati kiuhalisia haupo tayari kwa hilo ni nini?