Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Nlitaka kuprove pia kama Yuko tayari kunipoteza
Nyie ndo mnakuja kusumbua Vijana wasio na Hatia baadaye...!

Mtafanyiwa kila aina ya Madhila na Mtoto juu...! Kesho atatokea kijana kukusitiri, utasahau yote na kuanza kum cheat Kwa Mwanaume wako wa zamani...!

Kile ambacho hukubari kwamba imeisha ni Nini!?
Jufunze kuukubari ukweli na hutojuta kwenye Maisha Yako yalobaki.
 
deed5ff644655f7b99ba1ff6559532f0.jpg
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Pole mkuu. Na usifikie hatua ya kujidhuru. Kwanza tambua sio fungu lako na kubali kuanza upya. Jipe subira na ishi maisha yako kwa kuamini utampata wako. Kubwa zaidi jitunze.
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Huko Juu kuna kuachana wiki 3,hapa chini kuna siku 5 ??
 
Katika suala la mapenzi, maamuzi yoyote ya mwanaume hayapaswi kuhojiwa na mtu yeyote. Ni kukubali na kuunga mkono. Endelea kusubiri hapohapo usihoji wala kulalamika.
Point kubwa sana hii, hawa viumbe wana shida sana.
Kuna binti nipo nae kwa mahusiano kama miezi mitatu hivi. Jana kakomaa sana kuja kwangu kisa hayupo kazini leo. Nikamkubalia ila kwa kumpa tahadhali kwamba mimi nipo na viporo vya kumalizia akasema poa.
Leo kaja mimi nipo busy na mishe zangu et kanuna imefika saa sita akadai nimrudishe kwake. Nikamkimbiza kama kichaa nikamdrop nakarudi kuendelea na shughuli zangu.

Katuma txt kama gazeti sijajibu chochote na sitegemei kujibu mpaka siku nikikutana nae macho kwa macho hamna rangi ataacha kuona.
 
Sms inasemaje mkuu
 
Aibu nishaipata sababu mahusiano yetu yalikua open Sana
Yaani nyie wanawake bhana mna vituko, wakati mwingine huwa mnafikiri wanaume ni wa kujaribiwa Jaribiwa tu. My Sis Kuna mambo mengi watu huwa wanapitia mm nadhani ungetafuta sababu ya yeye kukaa kmya, na kama ungeikosa ungechukua mda angalau basi hata mwezi mmoja then ndiyo ungeangalia kama kutuma hivo Vi-SMS Vya kumtisha kuachana, but in right way hutakiwi kufanya hivyo.

Sasa sikia kwa sababu Usha mwonyesha tabia yako halisi jinsi ulivyo. Basi huyo Jamaa atarudi na utampokea kwa sabab unampenda atakupiga tukio na atakuacha, ushamwondolea uaminifu wako na imeonyesha ni kwa namna usivyo mvumilivu.
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Usijidhuru ni pm nikwambie kitu
 
Mkuu hii message YA kuumia Na ukimya wake nlishamtumia Na nlijieleza Sana jinsi gan hii Hali inavoniumiza maumivu nayopitia nilimweleza hisia zangu za ndanu kabisa Na jinsi navoteseka Na kuumwa ulcers sababu ya mawazo...........lakinini hakunijibu kitu
Chai mbona kavu tulikubali ya moto ila si kavu namna hii
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Mshukuru Mungu kwa yote, nawa mikono anza upya. Binadamu hubadilika, move on.
 
Back
Top Bottom