Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Huenda ameamua kuoa degree badala ya wewe kuonekena hutafit kwenye setting zake in future,give him minutes to breath
 
Move on,huenda wewe ni wale wa tuma na ya kutolea,mwanamke wa sasa simama kidete,hali ni Tete.
 
Adi vidonda vya tumbo, acha kuyapa uzito sana mapenzi huwa hayana muendelezo na mwisho mzuri.

Pia usitegemee kuonewa huruma, hakunaga mapenzi ya kuoneana huruma kwahiyo usikae kinyonge sana na kujitilisha huruma ukidhani itakuwa sababu ya yeye kuona huruma na kujirudi, mapenzi na huruma havikai pamoja siku huruma zikiisha ndio kifo cha upendo.

Kwa niaba ya waudhuriaji vikao vyetu napenda kuwasilisha salamu za pole ndio maisha ya mahusiano yalivyo.
 
Majibu mbona rahisi dada,concetrate na kazi na maisha yako,usimtafute na wala usimtumie sms,kama ni wako atarudi na kama sio wako hatarudi na wewe move on
 
Huwaa naamin kujishusha Ni sifa ya mwanamke
Unacho amini ni sahihi lakini unajishusha kwa mtu anaye kupa heshima na thamani.
Mtu amekukaushia bila maelezo, umetuma watu na ujumbe wa text bado kakausha. Hapo hukupaswa kujishusha tena.
Akikubali kurudiana nawe au kukuoa atakunyanyasa na kukudharau sana.
 
achana nae jitahidi na wewe usimtafute

kula vizuri jipende na jipe furaha mwenyewe siku yaja utapata anaejali hisia zako πŸ™‚β€β†”οΈπŸ™‚β€β†”οΈ
Hakuna cha kujali hisia, hiyo inakuwa kama kuoneana huruma badala ya kupendana. True love has to reciprocate the same, as the saying goes 'it takes two to tango'. Mnapopendana dearly it all flows smoothly.
 
Mtu ajaongea kitu ila wewe unalalamika umeachwa ,tulia labda mtandao unasumbua 🀣🀣
 
Umesema vyema Palina ,inauma lakini atazoea tu...ila wanaume bwana kisa cha kumuweka mwenzie kny psychological torture ni nini??
Ajipende yeye kwanza then nothing will shake her, raha ya relationship apende anapopendwa otherwise itakuwa ni yeye mwenyewe anayejipa hiyo psychological torture.
In case she is passing through psychological tormentation it's too bad but time heals, she is gonna be okay.
 
Ama ndiye aliyeambiwa kuwa unauzwa kwa 3M?
 
Ushaanza kutupiga fix
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…