Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,157
- 1,413
Fresh aisee. Check you later
Sijambo rafiki. Kweli leo rahaaa. Vipi wewe?Hujambo na raha zako???
Wakati nyie mnamtetea yeye anajiona yupo sahihi. Kitu kafanya yeye nyie mnaona aibu yeye anaona ni sifa. Hawa watu tupo nao sana kwenye jamii.
Ni ngumu kubadilika. Hata upige tarumbeta.
Ila vitu vingine yupo smart hadi unashangaa anatokeaje kwenye skendo kama hizi. Bado mimi nashangaa.
Pengine mtaani hayupo hivyo.Yaan nawaza ndo iwe mtaan kila ugomvi wa wanawake atajwe..aalfu ukute ndo mumeo wa ndoa kbs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!hicho kikombe nitakitua kwakweli..anywsy huebda amelelewa zaidi na dada
Kwenye maboresho yajayo nitawaomba Mods waeke kitufe cha kutekana, mtu akikukwaza au ukitaka akutolee ufafanuzi wa jambo, unabonyeza kitufe pembeni ya id yake unamteka.[emoji1][emoji1][emoji1] angalia usitekwe wewe jamani, yaani nitaandamana
Mzee toboa umenikumbusha hii riwaya ya mapenzi kile kitabu nilikisoma nimesahau "title" yakeHuu ushauri ni mzuri.
Kama akiufuata.
Mzee toboa unafaa kuwa mzee was baraza mahakamaniMkuu nimependa hapo uliposema uliupotezea kwa sababu hapakuwa na ukweli wowote ule. Ulifanya vyema.
Kama uliweza kupotezea kipindi hicho bila kutafuta ukweli kwa mhusika na kudhibitisha, kwanini haukuendelea kupotezea moja kwa moja badala ya kumrarua huyu binti?
Kwa maelezo yake alisaidiwa na wengi, kwanini baada ya yye kufungua thread yake ile watu wahisi moja kwa moja ni wewe na sio hao wengine? Na isitoshe mkuu wewe mwenyewe unadhibitisha kwamba "Hiyo mada ya kwanza hakumtaja huyo mtu. Lakini kwa jinsi alivyoandika ni zuzu tu ambaye asingeng’amua kuwa ni mtu yupi aliyekuwa anazungumziwa."
Kwanini moja kwa moja watu waweze kung'amua ni wewe? Mbali na kuambiwa wewe umedhibitisha tuu mtu yeyote angehisi ni wewe. Hapa kwa sisi Wazee tunasema yawezekana ni kweli mlishakuwa na mazoea au kuna watu ulishawaambia kuhusu huyu binti nao wakahadithia rafiki zao na rafiki zao wakahadithia rafiki zao na hiyo siku kazi yao ikawa ni kuconnect dots tuu.
Kama uliweza kupotezea mwanzo ungepotezea moja kwa moja. Kama mhusika siyo wewe haukuwa na haja ya kumrarua na maneno lazima mhusika yupo hata kama sio wewe.
Kama ni watu walikuambia ni wewe ulipaswa umuulize mtoa mada adhibitishe kabla ya kutoa hukumu mkuu.
Tumebaki mimi na wewe tu watatucheka.njoo PM tuanze safariAiseeeee hivi humu jukwaani Kuna mengi yanaendelea eeeeeh [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Utaiteka comment yake labdaKwenye maboresho yajayo nitawaomba Mods waeke kitufe cha kutekana, mtu akikukwaza au ukitaka akutolee ufafanuzi wa jambo, unabonyeza kitufe pembeni ya id yake unamteka.
Ya kwenda wapi tena boss? Chato au? Maana jiji linahamia hukoTumebaki mimi na wewe tu watatucheka.njoo PM tuanze safari
Sijaenda PM kwake, isipokuwa baada ya mimi kuandika vile kuna baadhi walisema muhusika ni mimi, and then wengine wakawa wamewaza mtu mwingine.
Alikuja mtu PM kuniuliza kuhusu hii issue, nilimjibu the same kwamba sijawasiliana na Aggy, na kilichosababisha niandike vile ilikuwa kuizima hii issue.
Haya sitakujaUsije piyemu kwangu tafazali
Amemtaja soma vizuri comment[emoji23][emoji23]We nae na hiyo I'd yako Kwani amekutaja??? Unaanza uchochezi eeeeh hii mada ukikaa vibaya jumba bovu linakuwa kwako
Ila Don, you got some splainin’ to do here.
The whole bullshit is circling back to you.
Mtu wa pili leo kaniambia hivyo hivyo kama yule mtu wa kwanza.
Kuwa, wewe ulimwambia huyo mtu wa pili kuwa mhusika ni mimi. Na kwamba uliambiwa hivyo na huyo binti [Aggy].
Sasa ina maana hawa watu wawili wote wanakuzushia kuwa uliwaambia hivyo?
Be straight with me. Uliwaambia hivyo hao watu?
Kama uliwaambia, je, ulitunga tu mwenyewe au ni kweli huyo binti ndivyo alivyokuambia?
Kwa sababu, kama ulitunga tu mwenyewe, that’s not cool. It’s a bitch move.
Someone is lying here: either you or them?
Nimesoma amesema hivi" hebu mpeni relief mwenzenu".....Amemtaja soma vizuri comment[emoji23][emoji23]