Naumia, nami ni binadamu

Naumia, nami ni binadamu

Wakati nyie mnamtetea yeye anajiona yupo sahihi. Kitu kafanya yeye nyie mnaona aibu yeye anaona ni sifa. Hawa watu tupo nao sana kwenye jamii.
Ni ngumu kubadilika. Hata upige tarumbeta.
Ila vitu vingine yupo smart hadi unashangaa anatokeaje kwenye skendo kama hizi. Bado mimi nashangaa.


Yaan nawaza ndo iwe mtaan kila ugomvi wa wanawake atajwe..aalfu ukute ndo mumeo wa ndoa kbs😂😂😂😂!hicho kikombe nitakitua kwakweli..anywsy huebda amelelewa zaidi na dada
 
Yaan nawaza ndo iwe mtaan kila ugomvi wa wanawake atajwe..aalfu ukute ndo mumeo wa ndoa kbs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!hicho kikombe nitakitua kwakweli..anywsy huebda amelelewa zaidi na dada
Pengine mtaani hayupo hivyo.
Sema kwa huku inaelekea anapenda story sana na wadada . Ndio wanaomponza.
Sisi hatujui kukaa na kitu ukituambia tuu , tunakifikisha kama kilivyo.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] angalia usitekwe wewe jamani, yaani nitaandamana
Kwenye maboresho yajayo nitawaomba Mods waeke kitufe cha kutekana, mtu akikukwaza au ukitaka akutolee ufafanuzi wa jambo, unabonyeza kitufe pembeni ya id yake unamteka.
 
Mkuu nimependa hapo uliposema uliupotezea kwa sababu hapakuwa na ukweli wowote ule. Ulifanya vyema.
Kama uliweza kupotezea kipindi hicho bila kutafuta ukweli kwa mhusika na kudhibitisha, kwanini haukuendelea kupotezea moja kwa moja badala ya kumrarua huyu binti?

Kwa maelezo yake alisaidiwa na wengi, kwanini baada ya yye kufungua thread yake ile watu wahisi moja kwa moja ni wewe na sio hao wengine? Na isitoshe mkuu wewe mwenyewe unadhibitisha kwamba "Hiyo mada ya kwanza hakumtaja huyo mtu. Lakini kwa jinsi alivyoandika ni zuzu tu ambaye asingeng’amua kuwa ni mtu yupi aliyekuwa anazungumziwa."

Kwanini moja kwa moja watu waweze kung'amua ni wewe? Mbali na kuambiwa wewe umedhibitisha tuu mtu yeyote angehisi ni wewe. Hapa kwa sisi Wazee tunasema yawezekana ni kweli mlishakuwa na mazoea au kuna watu ulishawaambia kuhusu huyu binti nao wakahadithia rafiki zao na rafiki zao wakahadithia rafiki zao na hiyo siku kazi yao ikawa ni kuconnect dots tuu.

Kama uliweza kupotezea mwanzo ungepotezea moja kwa moja. Kama mhusika siyo wewe haukuwa na haja ya kumrarua na maneno lazima mhusika yupo hata kama sio wewe.

Kama ni watu walikuambia ni wewe ulipaswa umuulize mtoa mada adhibitishe kabla ya kutoa hukumu mkuu.
Mzee toboa unafaa kuwa mzee was baraza mahakamani
 
Sijaenda PM kwake, isipokuwa baada ya mimi kuandika vile kuna baadhi walisema muhusika ni mimi, and then wengine wakawa wamewaza mtu mwingine.

Alikuja mtu PM kuniuliza kuhusu hii issue, nilimjibu the same kwamba sijawasiliana na Aggy, na kilichosababisha niandike vile ilikuwa kuizima hii issue.

Ila Don, you got some splainin’ to do here.

The whole bullshit is circling back to you.

Mtu wa pili leo kaniambia hivyo hivyo kama yule mtu wa kwanza.

Kuwa, wewe ulimwambia huyo mtu wa pili kuwa mhusika ni mimi. Na kwamba uliambiwa hivyo na huyo binti [Aggy].

Sasa ina maana hawa watu wawili wote wanakuzushia kuwa uliwaambia hivyo?

Be straight with me. Uliwaambia hivyo hao watu?

Kama uliwaambia, je, ulitunga tu mwenyewe au ni kweli huyo binti ndivyo alivyokuambia?

Kwa sababu, kama ulitunga tu mwenyewe, that’s not cool. It’s a bitch move.

Someone is lying here: either you or them.
 
Ila Don, you got some splainin’ to do here.

The whole bullshit is circling back to you.

Mtu wa pili leo kaniambia hivyo hivyo kama yule mtu wa kwanza.

Kuwa, wewe ulimwambia huyo mtu wa pili kuwa mhusika ni mimi. Na kwamba uliambiwa hivyo na huyo binti [Aggy].

Sasa ina maana hawa watu wawili wote wanakuzushia kuwa uliwaambia hivyo?

Be straight with me. Uliwaambia hivyo hao watu?

Kama uliwaambia, je, ulitunga tu mwenyewe au ni kweli huyo binti ndivyo alivyokuambia?

Kwa sababu, kama ulitunga tu mwenyewe, that’s not cool. It’s a bitch move.

Someone is lying here: either you or them?

Nilitunga mkuu, kuna mahali nimekwambia sijawasiliana na Aggy kuhusiana na hiyo issue.

Watu unaowasema hawawezi kukuthibitishia chochote juu ya kwamba taarifa nilizotoa kwa Aggy.

Ongea vizuri na hizo source, ilikuwa something like brainstorming, A + B and then ikafikiwa kama hitimisho kati yetu kwamba issue inaweza kukuhusu.

I hope hutaki niziweke hapa hizo ABCs ambazo zinahusiana na hii issue.

Niseme tu kwamba hii issue Aggy alifikia sehemu akaachana nayo.

Bosi, we can all do good kwa kutoiendeleza hii kitu, lakini ukipenda naweza kukuwekea clues zote zilizohusisha hii ikawa concluded kwamba unaweza kuwa ni wewe uliyezungumziwa (of which I am 100% sure).

Na I sided with her kumshauri Aggy kwamba aachane na hiyo issue kwa sababu siyo nzuri kwake.
 
Back
Top Bottom