Naumia, nami ni binadamu

Na yako shoga watu watakuwa wanaitwa wajionee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bahati nzuri walah sina makandokando hayo mie yangu yanaishaga hapa jukwani tu baasi.....


Leo nimeshangaa kumbe Kuna mengi mnooo yanaendelea huko nyuma ya pazia
 
Yani pale juu kakiri sijawahi wasiliana na aggy wala hakunitajia kuwa ni wewe anaemuongelea.
Haya basi hapo watu nao aliowaambia wakaaenda mwambia ngabu nao wamemgeuka wanadai wameambiwa na yeye.
Analetewa lawama anadai oh nilitunga..sijui kukubrain storm...

Haya nyingine anaombwa ushahidi anasema anao.ushahidi gani?

Huyu usimwogope.mwambie auweke ushaihidi aggy akisema huyo mwanaume ni ngabu.
Na thread ni ya April au march ionyeshe tarehe
Shoga yaan kujishuku shuku na kuhisi na kuyapeleka mtu aliekuwa anazungumziwa na aggy mwingine kabisaaa
 
Kupatwa kwa wanaume wa jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahah haya maswala bado yapo??

Pm ni sehem za kuombana pap.....i tuu Mengineyo mwisho wake ndio huu
 
Nimesoma amesema hivi" hebu mpeni relief mwenzenu".....

Kumbuka relief ni "msaada/misaada/posho na mengine...... So hakutajwa kama member lilitajwa neno
Madam, this is chitchat don't take life too seriously, ni utani huo usishupaze sana shingo itavunjika utuachie bata
 

Achana nae ashaumbuka hakuna maneno sipendi etiii ooh unajidhalilisha nani anataka heshima humu heshima yenyewe hatuitaki alaaa

@moderatos Active Paw futeni huu uzi
 
Jaaaamaaaniiiii amkeni kumekucha amkeeeniiiii

Bora nikose kula ila niwe na bundle la kuingilia jf
Yani kila siku id hii nahisigi ni mwanaume. Ila kwa kupenda ubuyu huku naamini ni ke.

Hujambo..
 
Daah aisee
 
Naona limekugeukia.
Eti u know for her healthy sake please

Uliambiwa nlikua naumwa maini au mapafu.
Babu naumwa vidole mguuni..
Siku nyingine tuliza hizo p zako umbea na kujishuku waachie wadada..

Eti let's call it off man...she needed mercy from the people...

I need mercy from who?..
We ndo usiehitaji huruma na skendo ya kukopa na kukimbia madada jf?
 
Madam, this is chitchat don't take life too seriously, ni utani huo usishupaze sana shingo itavunjika utuachie bata
Aiiiii mamy yalishapita haya.... Wacha tuendelee kuangalia sinema hapa
 
Pole mdogo wangu. Nimekosa hata la kusema loh
 
Toba toba toba kukopa na kukimbia madeni tena



[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Yani kila siku id hii nahisigi ni mwanaume. Ila kwa kupenda ubuyu huku naamini ni ke.

Hujambo..
Hahahaha sijambo mkuu..... Naomba uendelee kuamini kwamba mimi ni me hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…