Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Mimi kufanya je labda?Bado wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kufanya je labda?Bado wewe.
Bahati nzuri walah sina makandokando hayo mie yangu yanaishaga hapa jukwani tu baasi.....Na yako shoga watu watakuwa wanaitwa wajionee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Shoga yaan kujishuku shuku na kuhisi na kuyapeleka mtu aliekuwa anazungumziwa na aggy mwingine kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kufanya je labda?
Hahah haya maswala bado yapo??Kupatwa kwa wanaume wa jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Madam, this is chitchat don't take life too seriously, ni utani huo usishupaze sana shingo itavunjika utuachie bataNimesoma amesema hivi" hebu mpeni relief mwenzenu".....
Kumbuka relief ni "msaada/misaada/posho na mengine...... So hakutajwa kama member lilitajwa neno
Yani pale juu kakiri sijawahi wasiliana na aggy wala hakunitajia kuwa ni wewe anaemuongelea.
Haya basi hapo watu nao aliowaambia wakaaenda mwambia ngabu nao wamemgeuka wanadai wameambiwa na yeye.
Analetewa lawama anadai oh nilitunga..sijui kukubrain storm...
Haya nyingine anaombwa ushahidi anasema anao.ushahidi gani?
Huyu usimwogope.mwambie auweke ushaihidi aggy akisema huyo mwanaume ni ngabu.
Na thread ni ya April au march ionyeshe tarehe
Bahati nzuri walah sina makandokando hayo mie yangu yanaishaga hapa jukwani tu baasi.....
Leo nimeshangaa kumbe Kuna mengi mnooo yanaendelea huko nyuma ya pazia
Yani kila siku id hii nahisigi ni mwanaume. Ila kwa kupenda ubuyu huku naamini ni ke.Jaaaamaaaniiiii amkeni kumekucha amkeeeniiiii
Bora nikose kula ila niwe na bundle la kuingilia jf
Hahaha labda niende chato kwenye mazishi yake nikamuinjoy fuala yuleeYa kwenda wapi tena boss? Chato au? Maana jiji linahamia huko
Daah aiseeTalk to that sources, tulishea info na kufikia hitimisho kwamba Aggy anakusema wewe.
Najua kwa nini it is favorable kwako info kuwekwa hapa, kwa sababu you are clean in this, Aggy alikusoma vibaya akaja na hiyo thread.
Uzuri ile thread haijafutwa, yeyote atakayeisoma na kama ana ukaribu au ana taarifa za ukaribu wenu (not physically) haitamchukua muda kujua kwamba Aggy aliteleza.
Man, unajua ni kwa kiasi gani ulikuwa mtu wa msaada kwake, you can still be kwa kuachana na hii issue.
You know her condition, just for the sake of her health, let's forgive this.
I can take up all the blames, if need be. She needs people, she needs people's mercy.
Let's just call it off man, please.
Naona limekugeukia.Talk to that sources, tulishea info na kufikia hitimisho kwamba Aggy anakusema wewe.
Najua kwa nini it is favorable kwako info kuwekwa hapa, kwa sababu you are clean in this, Aggy alikusoma vibaya akaja na hiyo thread.
Uzuri ile thread haijafutwa, yeyote atakayeisoma na kama ana ukaribu au ana taarifa za ukaribu wenu (not physically) haitamchukua muda kujua kwamba Aggy aliteleza.
Man, unajua ni kwa kiasi gani ulikuwa mtu wa msaada kwake, you can still be kwa kuachana na hii issue.
You know her condition, just for the sake of her health, let's forgive this.
I can take up all the blames, if need be. She needs people, she needs people's mercy.
Let's just call it off man, please.
Aiiiii mamy yalishapita haya.... Wacha tuendelee kuangalia sinema hapaMadam, this is chitchat don't take life too seriously, ni utani huo usishupaze sana shingo itavunjika utuachie bata
Pole mdogo wangu. Nimekosa hata la kusema lohUnawezaje kumtungia mtu uongo wewe.?
Halafu uongo mzito kama hivo ambao umedamage urafiki wangu na ngabu?
Mie na ngabu tulikia sawa kabisa.I treated him like my brother with all respect,na yeye pia hivo hivo.
Sikutarajia siku unaweza kuwa hivi
Ila wewe kidudu mtu chakubanga wa kiume ulokosa la kufanya..
Baada ya yeye kuuliza ulowaambia huko wamekugeuzia kibao unakuja unadai umetunga...
Ntadeal na wewe!
Kwakweli naomba yasinikute jamani..... Nitapigwa ban ya maisha wakati bado naipenda jfShogaaa yanakujaga hata bila kupenda
Toba toba toba kukopa na kukimbia madeni tenaNaona limekugeukia.
Eti u know for her healthy sake please
Uliambiwa nlikua naumwa maini au mapafu.
Babu naumwa vidole mguuni..
Siku nyingine tuliza hizo p zako umbea na kujishuku waachie wadada..
Eti let's call it off man...she needed mercy from the people...
I need mercy from who?..
We ndo usiehitaji huruma na skendo ya kukopa na kukimbia madada jf?
Shikamooni wanaume wa humu walah!!Hahah haya maswala bado yapo??
Pm ni sehem za kuombana pap.....i tuu Mengineyo mwisho wake ndio huu
Ohoooo amekuwa fuala hahahahahaha nikukute central hujui kama mimi mzalendo?Hahaha labda niende chato kwenye mazishi yake nikamuinjoy fuala yulee
Hahahaha sijambo mkuu..... Naomba uendelee kuamini kwamba mimi ni me hivyo hivyoYani kila siku id hii nahisigi ni mwanaume. Ila kwa kupenda ubuyu huku naamini ni ke.
Hujambo..