Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Mnajadili nini huko?Ninalo mkuu
na mimi ni admin mwanzilishi.
Nikuunge nalo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajadili nini huko?Ninalo mkuu
na mimi ni admin mwanzilishi.
Nikuunge nalo ?
Nipo kusoma madini uyatemayoUsilemewe kuwa na imani na utambue kwamba pale uwezo wa kibinadamu unapoishia ndiyo Mungu anaingia kazini Rasmi.
What a post!!!Agy pole. Ila ngoja nikushauri nikupe ushauri tofauti.
Yawezekana hawakufanyii makusudi, kupishana huku jukwaani ni kawaida sana. Kujibiana shombo ni kawaida sana. Sasa pengine wewe unahisi wanafanya hivo kwa sababu wamekusaidia.
Na hata kama wapo wanaofanya hivyo labda ni mmoja au wawili pasikufanye ukaona watu wote 10+ wanakufanyia hivyo.
Kuhusu kuwalipa, hauwezi kuwalipa kabisa. Nakazia kwamba HAUWEZI KUWALIPA KAMWE. kwa sababu ile sio hela tuu walikupa Bali walikufanyia WEMA, WALIKUINUA KIPINDI UMEANGUKA, WALIKUFANDILI. Hela utawapa lakini hela sio kitu , Fadhila walizokutendea hauwezi kuzirudisha kwa sababu hazirudishwi kwa pesa.
Usizire. Muombe Mungu akupe uvumilivu na ujasiri. Na pia jaribu kuishi kama hamna kilichotokea.
Watu waliokufanyia WEMA lazima wanajisikia vibaya kwa hivi unavyoviandika, mara utawarudishia, Mara unawajua wote. Kila mtu anaweza akawa anahisi unamwona adui kisa alikusaidia.
Kosa la mtu mmoja au wawili lisikufanye uone watu wote waliokusaidia wanakunyanyasa.
cc: NyeteUkitoa msaada ww sepa zako...haijalishi mtofautiane au vip...!usisubiri kulipwa fadhila..Atalipa Mungu
Sio wewe huyu[emoji23][emoji23][emoji23] basi Makubaliano yafanyike mapema mtu ajue kabisa
Najua ni uongo.😂Nipo kusoma madini uyatemayo
Kwa hiyo unajua nipo kusoma nini?? genge la ndugu zako na jinsi nlivyo na kiherehere cha kutaka kukwambia inatosha sasa??????Najua ni uongo.😂
Hahahahahahaha, niambie.Kwa hiyo unajua nipo kusoma nini?? genge la ndugu zako na jinsi nlivyo na kiherehere cha kutaka kukwambia inatosha sasa??????
Inatosha sasa! 😀😀😀Hahahahahahaha, niambie.
Hata Mimi naona imetosha.
Niambie huko huko mbele za ndugu zangu.Inatosha sasa! 😀😀😀
Naanzaje kwa mfano. Hebu kwanza uzi wa watu huu. Twende chumbani hebuNiambie huko huko mbele za ndugu zangu.
Kumbe unawaogopa eeh. 😂😂 .Naanzaje kwa mfano. Hebu kwanza uzi wa watu huu. Twende chumbani hebu
Ya nini vita???Kumbe unawaogopa eeh. 😂😂 .
Haya twende
Naomba kukuuliza hao waliotoa msaada hapa jf ndio haohao wanao kusimanga? Kama ndio ni wote waliotoa ndio wanakusimanga? Anae toa maisha yote hasemi alichotoa lakini wapambe ndio wanao simanga. Uzi wako ulisomwa na wengi wachache walikusaidia wengine wanabakia kusimanga wakati hata senti 1 hawakutoa. Ushauri wangu kama yupo alie toa na kukusimanga mpatie hela yake lakini kama hakuna. Ukiwarejeshea utawapatia unyonge kwenye mioyo yao kwasababu walikusaidia kwa moyo safi.Asante joanah..but kuna mda mwingine naelemewa na masimango ya watu.najiona nna mzigo
Info ziko classified hazipo for public consumption, mkuuMnajadili nini huko?
Ohhh hapo sawaNi kweli huyo ni Atoto