Naumia sana navyoshuhudia Kanisa langu Katoliki likishambuliwa na mamlaka

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,332
Reaction score
4,822
Niwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu.

Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa.
Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini.

Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima amsifie na kumpigia kampeni mgombea wenu?

Mtu akikemea utekaji anaambiwa ana hatarisha amani anatakiwa apotezwe, mtawapoteza wangapi na mwisho wake utakuwa nini?

Mnataka Kanisa letu la heshima lisifie dhambi?

Hii post inahusu nchi yangu ya Malawi msiifute.
 
Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
 
Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana.
Mathayo 12:17
 
Usiketi na watu wenye mzaha/wajinga,watakuzalilisha
 
Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Kitima alijipiga pia kichwani na nondo, wewe mujahideen una bahati umekuwa Tanzania, ungekuwa Afghanistan au Somalia ungekuwa umeshajitanguliza ahera ukapate mabikira 72
 
Kitime ni mlevi pombe zilimzidia akaangukia kichwa chooni sasa ili afiche fedheha kasema alipigwa nyundo na wasiojulikana
 
Write your reply...padri wa songea hadi sms za mwanamke na miamala ya mpesa na bank kama ushahidi upo
 
Niwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu.

Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa.
Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini.

Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima amsifie na kumpigia kampeni mgombea wenu?

Mtu akikemea utekaji anaambiwa ana hatarisha amani anatakiwa apotezwe, mtawapoteza wangapi na mwisho wake utakuwa nini?

Mnataka Kanisa letu la heshima lisifie dhambi?

Hii post inahusu nchi yangu ya Malawi msiifute.
Mliambie kanisa lenu liache kukimbilia kutangaza eti Padre katekwa bila kuchunguza lenyewe na kujiridhisha, mana polisi wakichunguza ndo aibu inawaangukia
 
Niwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu.

Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa.
Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini.

Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima amsifie na kumpigia kampeni mgombea wenu?

Mtu akikemea utekaji anaambiwa ana hatarisha amani anatakiwa apotezwe, mtawapoteza wangapi na mwisho wake utakuwa nini?

Mnataka Kanisa letu la heshima lisifie dhambi?

Hii post inahusu nchi yangu ya Malawi msiifute.
Suruhisho ni Kanisa Katoliki kuacha unafiki. Linatumia nguvu kubwa sana kuficha uovu na shutuma zinapitokea ndani ya Kanisa. Kuanguka Kwa Soviet, CIA walitumia Kanisa (Vatican) Papa akaenda mshika mkono Gobachovu.
Ushoga unapigiwa chapuo na Kanisa (Vatican).
Kashifa za ulawiti watoto ziliibuliwa ndani ya Kanisa, Zikafunikwa funikwa na Vatican.
Usishangae kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo na tupo nao mitaani, Kanisa linajua ila Kwa kanuni na taratibu zake hawataki Kanisa lichafuliwe, watazikana ila hatua zake zitachukuliwa kwa Siri.
 
Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Ni kwanini kipindi cha utawala huu ndio mapadre wanajiteka?
Kwanini kipindi hiki intelejensia ya jeshi la polisi ndio imegundua kuwa mapadre wana msongo wa mawazo?
Kwanini sasa?
 
Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Anko una uhakika gani kama alikuwa na kimada? 😅
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Write your reply...yule mtoto albino alie uawa kule kagera padri wa katoliki alishiriki
 
Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Wote wanaotekwa na kupotezwa cha ajubu ni wanaoikosoa serikali hii imekaaje,je maprdri wanao ikosoa seriakli ndio wenye msongo wa mazwazo madeni na vimada?tafakari
 
Suruhisho ni Kanisa Katoliki kuacha unafiki. Linatumia nguvu kubwa sana kuficha uovu na shutuma zinapitokea ndani ya Kanisa. Kuanguka Kwa Soviet, CIA walitumia Kanisa (Vatican) Papa akaenda mshika mkono Gobachovu.
Ushoga unapigiwa chapuo na Kanisa (Vatican).
Kashifa za ulawiti watoto ziliibuliwa ndani ya Kanisa, Zikafunikwa funikwa na Vatican.
Usishangae kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo na tupo nao mitaani, Kanisa linajua ila Kwa kanuni na taratibu zake hawataki Kanisa lichafuliwe, watazikana ila hatua zake zitachukuliwa kwa Siri.
Kuna wakati inabidi tufikirie nje ya namna ya tunavyofikiria kwa jinsi tunavyofikirishwa.
 
Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Naona unaangaika kila kona kupost unapaswa kuhurumiwa sababu hujui hata ufanyalo.
 
Back
Top Bottom