Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,290
- 2,438
Kanisa hata siku Moja haliwezi kukubali uchafu unaolifanya linuke. 2022 Kuna Pd alijiua kwenye makazi ya Mapadri pale St Joseph. Kwa makosa Polisi wakawahi kutoa taarifa kuwa amejiua. Kanisa likaikana taarifa ya Polisi sababu inalichafua Kanisa. Padri hajiui sababu ni dhambi. na ni najisi ingekuwa vigumu kumzika