Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana.Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Kitima alijipiga pia kichwani na nondo, wewe mujahideen una bahati umekuwa Tanzania, ungekuwa Afghanistan au Somalia ungekuwa umeshajitanguliza ahera ukapate mabikira 72Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Kitime ni mlevi pombe zilimzidia akaangukia kichwa chooni sasa ili afiche fedheha kasema alipigwa nyundo na wasiojulikanaKitima alijipiga pia kichwani na nondo, wewe mujahideen una bahati umekuwa Tanzania, ungekuwa Afghanistan au Somalia ungekuwa umeshajitanguliza ahera ukapate mabikira 72
Mliambie kanisa lenu liache kukimbilia kutangaza eti Padre katekwa bila kuchunguza lenyewe na kujiridhisha, mana polisi wakichunguza ndo aibu inawaangukiaNiwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu.
Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa.
Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini.
Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima amsifie na kumpigia kampeni mgombea wenu?
Mtu akikemea utekaji anaambiwa ana hatarisha amani anatakiwa apotezwe, mtawapoteza wangapi na mwisho wake utakuwa nini?
Mnataka Kanisa letu la heshima lisifie dhambi?
Hii post inahusu nchi yangu ya Malawi msiifute.
Suruhisho ni Kanisa Katoliki kuacha unafiki. Linatumia nguvu kubwa sana kuficha uovu na shutuma zinapitokea ndani ya Kanisa. Kuanguka Kwa Soviet, CIA walitumia Kanisa (Vatican) Papa akaenda mshika mkono Gobachovu.Niwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu.
Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa.
Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini.
Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima amsifie na kumpigia kampeni mgombea wenu?
Mtu akikemea utekaji anaambiwa ana hatarisha amani anatakiwa apotezwe, mtawapoteza wangapi na mwisho wake utakuwa nini?
Mnataka Kanisa letu la heshima lisifie dhambi?
Hii post inahusu nchi yangu ya Malawi msiifute.
Ni kwanini kipindi cha utawala huu ndio mapadre wanajiteka?Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Anko una uhakika gani kama alikuwa na kimada? 😅Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Anko una uhakika gani kama alikuwa na kimada?
Wote wanaotekwa na kupotezwa cha ajubu ni wanaoikosoa serikali hii imekaaje,je maprdri wanao ikosoa seriakli ndio wenye msongo wa mazwazo madeni na vimada?tafakariNi muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.
Kuna wakati inabidi tufikirie nje ya namna ya tunavyofikiria kwa jinsi tunavyofikirishwa.Suruhisho ni Kanisa Katoliki kuacha unafiki. Linatumia nguvu kubwa sana kuficha uovu na shutuma zinapitokea ndani ya Kanisa. Kuanguka Kwa Soviet, CIA walitumia Kanisa (Vatican) Papa akaenda mshika mkono Gobachovu.
Ushoga unapigiwa chapuo na Kanisa (Vatican).
Kashifa za ulawiti watoto ziliibuliwa ndani ya Kanisa, Zikafunikwa funikwa na Vatican.
Usishangae kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo na tupo nao mitaani, Kanisa linajua ila Kwa kanuni na taratibu zake hawataki Kanisa lichafuliwe, watazikana ila hatua zake zitachukuliwa kwa Siri.
Naona unaangaika kila kona kupost unapaswa kuhurumiwa sababu hujui hata ufanyalo.Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.