Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,290
- 2,438
Huyu mama Joyce Banda wa Malawi anaonekana kuwa na nguvu isiyomithilika!Niwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu.
Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa.
Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini.
Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima amsifie na kumpigia kampeni mgombea wenu?
Mtu akikemea utekaji anaambiwa ana hatarisha amani anatakiwa apotezwe, mtawapoteza wangapi na mwisho wake utakuwa nini?
Mnataka Kanisa letu la heshima lisifie dhambi?
Hii post inahusu nchi yangu ya Malawi msiifute.
Lazima niwalambe spana hadi akili iwakae sawaNaona unaangaika kila kona kupost unapaswa kuhurumiwa sababu hujui hata ufanyalo.
Yeye mwenyewe ndo alikuwa kimada cha PadreAnko una uhakika gani kama alikuwa na kimada? 😅
Mashehe magaidi zaidi ya 100 wapo Ukonga na huwezi kuwatoa na watakaa huko wakinyea ndoo.Lazima niwalambe spana hadi akili iwakae sawa
Huyo Samia hana akili hata kidogo, anawamaliza watanganyika wanaopinga udhalimu wake, bado kidogo ataanza kuua mapadre na maaskofu. Sijui wamemkosea nini? Idd Amin alianza hivi hivi.....Niwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu.
Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa.
Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini.
Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima amsifie na kumpigia kampeni mgombea wenu?
Mtu akikemea utekaji anaambiwa ana hatarisha amani anatakiwa apotezwe, mtawapoteza wangapi na mwisho wake utakuwa nini?
Mnataka Kanisa letu la heshima lisifie dhambi?
Hii post inahusu nchi yangu ya Malawi msiifute.
Wameshazoea wewe Nyumbu endelea kujificha juu ya dari na kupiga mikwara mtadaoni na hao mapadre wako wajanja wajanja wazee wa kujiteka.Mashehe magaidi zaidi ya 100 wapo Ukonga na huwezi kuwatoa na watakaa huko wakinyea ndoo.
Tutawapeleka magaidi wengine waishi Ukonga bila hata kuhukumiwa na Mahakama
Mashehe magaidi wako jela miaka zaidi ya 20 serikali unayoisifia ndo imewafunga.Wameshazoea wewe Nyumbu endelea kujificha juu ya dari na kupiga mikwara mtadaoni na hao mapadre wako wajanja wajanja wazee wa kujiteka.
Wameshazoea masheikh hawaogopi kifo wala kufungwa, wanaoogopa kifo na kufungwa ni hao mapadre wajanja wajanja wanaojiteka kukimbi madeni na yule Padre Nikata alieachwa na kimada wake akaamua kujipotezaMashehe magaidi wako jela miaka zaidi ya 20 serikali unayoisifia ndo imewafunga.
Kama mnaweza mpeleke hata katekesta mahabusu muone.
Hao magaidi tutazidi kuwasweka lupango hata bila hukumu ya mahakama,
Ukweli gaidi hawezi kuogoba vitaWameshazoea masheikh hawaogopi kifo wala kufungwa, wanaoogopa kifo na kufungwa ni hao mapadre wajanja wajanja wanaojiteka kukimbi madeni na yule Padre Nikata alieachwa na kimada wake akaamua kujipoteza
Sheikh haogopi kifo wanaoogopa kifo ni hao mapadre maana wanajijua jinsi walivyo wachafu wanaogopa kukutana na Mungu wao, Padre anaongoza misa huku anamiliki vimada kwanini asiogope kifo na kwenda jela, akienda jela vimada atawaachia nani hao vimada?Ukweli gaidi hawezi kuogoba vita
Ona hili punguani lisilo na tegemeo la kurudiwa na akili! Care not, he is a mind crippled creature.Ni muda wenu kuwashauri Mapadre waache uongo na kujiteka maana wakipatikana inabaki kuwa aibu ya kanisa, yule mwingine Padre Nikata katuongoza kama Padre miaka yote kumbe ana kimada, alivyoachwa na kimada kapata stress kajipoteza alafu kanisa likasema katekwa, amepatikana imebaki kuwa aibu ya kanisa, kwahiyo ni nyie waumini kuongea na viongozi wenu waache ujanja ujanja, wasitengeneze scenario za uongo ili kupata attention.