Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

HV unajuwa kupigika kaka acha kbsaa mm Hali hyo ilinipitiaa
Ninaelewa sana. Hata mimi hiyo hali ilinipitia. Lakini nilipoanza kuwajali kwa kile kidogo nilichokua nacho ndipo nilipogundua mganga wa kweli wa kuleta utajiri ni mzazi wako mwenyewe. Badala ya kukopa hela ununue kuku umpelekee mganga wa kienyeji ale mizimu ifurahi ikupe utajiri, kopa hiyo hela kanunue kuku mpe mzazi wako ale kwa roho safi afurahi then nenda katafute hela utaleta ushuhuda hapa.
 
Mzazi kupambana kuwalea watoto ni wajibu wao na ni lazima.
Huwezi leta kiumbe duniani utegemee kijelee chenyewe.

Vivyo hivyo mtoto akikua na yeye atakuwa na watoto wake ataitwa mzazi vilevile na anapaswa kuwalea watoto wake.

Msaada kwa mzazi si lazima wala amri.

MZAZI kama alishindwa kufanikiwa Asitegemee mtoto aje kupambana kwa niaba yake.
Kusaidia wazazi Ni upendo,kuwafanya wafurahi Ni baraka tele.
 
Back
Top Bottom