bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ina maana hata kuwasaidia kulima huwezi,kuwachotea maji,kuwasaidia kazi za nyumban mfano usafi nazo huwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikae na mbuzi au??Kaa humo
Piga deal za kufuga na kuuza mbuziNikae na mbuzi au??
[emoji28]hao mkuu wapo tena wengi tu mtaani ambao walijipa jukumu la kuzaa tu watoto na si kuwalea ila bado kama watoto hatupaswi kulipiza chochote kwa wazazi.kitajaliana tu kwani kwenu ukoo wenu wote si kuna mazuzu hawajali wazazi? cha msingi wekeza kwa mtoto ili baadaye ajue amefika hapo kwa sasas wewe mzazi wake aliwekeza. Kuna wazazi hawajali kumjenga mtoto utotoni, wanakula bata tu, mtoto akishakua ndiyo mzazi anaanza kutamba kwa kusema ana jembe lake, analitegemea. mzazi wa namna hiyo unamfanyaje?
Huko nanjilinji ni eneo moja wapo lenye fursa ya kulima ufutaKuna fursa gani huko?
Mipango Sio matumizi na Sio nyakati zote upangacho Huwa.Wao ndio wanatakiwa Waumie Kwa Kushindwa kukusaidia kama mtoto wao ili ujikimu na kujimudu kimaisha.
Kama walikuzaa kama Mnyama bila mipango tatizo sio lako
Nime pewa kazi ya kuchunga tu, nuwajze ili mwenye nao aniue🤔Piga deal za kufuga na kuuza mbuzi
Umesema vyemaHuko nanjilinji ni eneo moja wapo lenye fursa ya kulima ufuta
Fanya kazi kwa bidii kuwa mwaminifu tengeneza connectionNime pewa kazi ya kuchunga tu, nuwajze ili mwenye nao aniue🤔
Jiandae kuwa fundi mzr wa kuzichambua na kuzichakata mbususu kila la kheriSamahani mkuu, Ina bidi tujifunze kufurahia uwepo was watu wote.
👉Hulka ya mwanadamu ni kufurahia Yale yote yalio mazuri machoni mwake, ana sahau lililo zuri kwako laweza kuwa baya kwangu.
👉Mimi ni jobless wa kimataifa, hata huyo Mzee wa kupambania, ana jua Sana.
👉Nina mpango wa kuomba anagalau ki barua kwa Mzee wa kupambania, ili nipate angalau ka ugali🙏🙏💪
Ukweli mtupu.Mzazi kupambana kuwalea watoto ni wajibu wao na ni lazima.
Huwezi leta kiumbe duniani utegemee kijelee chenyewe.
Vivyo hivyo mtoto akikua na yeye atakuwa na watoto wake ataitwa mzazi vilevile na anapaswa kuwalea watoto wake.
Msaada kwa mzazi si lazima wala amri.
MZAZI kama alishindwa kufanikiwa Asitegemee mtoto aje kupambana kwa niaba yake.
😂😂Njoo huku, njoo hukuU motivation speaker Raha Sana🤒🤒
Kuna nini😂😂Njoo huku, njoo huku
Samahani connection nazipata wapi??Fanya kazi kwa bidii kuwa mwaminifu tengeneza connection