Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

kitajaliana tu kwani kwenu ukoo wenu wote si kuna mazuzu hawajali wazazi? cha msingi wekeza kwa mtoto ili baadaye ajue amefika hapo kwa sasas wewe mzazi wake aliwekeza. Kuna wazazi hawajali kumjenga mtoto utotoni, wanakula bata tu, mtoto akishakua ndiyo mzazi anaanza kutamba kwa kusema ana jembe lake, analitegemea. mzazi wa namna hiyo unamfanyaje?
[emoji28]hao mkuu wapo tena wengi tu mtaani ambao walijipa jukumu la kuzaa tu watoto na si kuwalea ila bado kama watoto hatupaswi kulipiza chochote kwa wazazi.

Nasisitiza tupende wazazi na kuwajali bila kuangalia wao walitufanyia nini huko nyuma.
 
M
Wao ndio wanatakiwa Waumie Kwa Kushindwa kukusaidia kama mtoto wao ili ujikimu na kujimudu kimaisha.
Kama walikuzaa kama Mnyama bila mipango tatizo sio lako
Mipango Sio matumizi na Sio nyakati zote upangacho Huwa.
Umefukuzwa kazi ujakaa sawa nyumba na biashara zako kimara Magu kapita nazo.
Kupambana Sio kupata
 
Mzazi ushukuru hata kwa kiduchu ulichomtumia usisubiri upate kazi BOT,we uza hata machungwa,choma mahindi, mihogo,beba box kwa mchina ukituma hata 5000 ni baraka tele,hata vocha tu ni baraka tele zinafungua utapata zaidi.
 
Kuwafikiria wazazi tu ni msaada tosha, unaweza ukapata mamilioni na hata wazo huna upo bize kuhonga iphone na magari kwa malaya wasio na faida zaidi ya kukuchafua jasho tu kitandani
 
Kila jambo lina wakati wake mkuu, ukiona bado hujafanikiwa ujue Wakati wako bado haujafika. Muhimu uendelee kupambana.

Wengine tulitamani mshahara wetu wa kwanza tuwanunulie hata sukari Wazazi wetu, lakini ndiyo hawapo, tunaishia kuwanunulia watu ambao hawakutoa hata shilingi kumi kutufanya tuwe hapa.

Kikubwa pumzi mkuu
 
Samahani mkuu, Ina bidi tujifunze kufurahia uwepo was watu wote.
👉Hulka ya mwanadamu ni kufurahia Yale yote yalio mazuri machoni mwake, ana sahau lililo zuri kwako laweza kuwa baya kwangu.
👉Mimi ni jobless wa kimataifa, hata huyo Mzee wa kupambania, ana jua Sana.
👉Nina mpango wa kuomba anagalau ki barua kwa Mzee wa kupambania, ili nipate angalau ka ugali🙏🙏💪
Jiandae kuwa fundi mzr wa kuzichambua na kuzichakata mbususu kila la kheri
 
Mungu atusaidie wote ambao bado tuna wazazi na wameshazeeka tupate uchumi na moyo wa kuwasaidia ..its very important..na hivohivo kuendelea kupambana kuwawekea mazingira mazuri ya badae watoto wetu ili waje waweze kutusaidia ikiwa watakuwa na moyo huo.
 
Mzazi kupambana kuwalea watoto ni wajibu wao na ni lazima.
Huwezi leta kiumbe duniani utegemee kijelee chenyewe.

Vivyo hivyo mtoto akikua na yeye atakuwa na watoto wake ataitwa mzazi vilevile na anapaswa kuwalea watoto wake.

Msaada kwa mzazi si lazima wala amri.

MZAZI kama alishindwa kufanikiwa Asitegemee mtoto aje kupambana kwa niaba yake.
Ukweli mtupu.
 
Back
Top Bottom