Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

HV unajuwa kupigika kaka acha kbsaa mm Hali hyo ilinipitiaa
Ninaelewa sana. Hata mimi hiyo hali ilinipitia. Lakini nilipoanza kuwajali kwa kile kidogo nilichokua nacho ndipo nilipogundua mganga wa kweli wa kuleta utajiri ni mzazi wako mwenyewe. Badala ya kukopa hela ununue kuku umpelekee mganga wa kienyeji ale mizimu ifurahi ikupe utajiri, kopa hiyo hela kanunue kuku mpe mzazi wako ale kwa roho safi afurahi then nenda katafute hela utaleta ushuhuda hapa.
 
Kusaidia wazazi Ni upendo,kuwafanya wafurahi Ni baraka tele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…