Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Pole kipenzi changu ni ubisy tu na stress za stone ucjal soon nitakuchek
 
Ndo nini kujakuanzishiana uzi huku

Nimekutext pm hujib.
 
wasafi festival 2019 mamamamamamamamamamamamamamamamamama
 
Pole naona uko desparate jamaa alikuwa anakuchezea tu ...hata mimi huwa inanitokea halafu nikipata demu mkali mtaani ..namtosa wa mtandaoni

[emoji2][emoji2]wewe nawe unapigilia msumari kwenye kidonda huoni anaugulia
Mpe moyo hapo tayari mahusiano chali
 
Mmmmh aisee mapenzi haya kwa kweli daaah yani basi tu Mungu ndo anayejua
 
Hilo linawekana kabisa. Kumbuka mwanadamu anaongozwa kwa hisia/saikolojia. Ona jinsi watu hufikia kutukanana au kuuana kwa kutofautiana katika imani. Waulize nani alimuona Mungu na hao manabii wake kama watakupa jibu. So, hilo linawezekana ila hakikisha unachukua tahadhari za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…