Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Pole kipenzi changu ni ubisy tu na stress za stone ucjal soon nitakuchek
 
Ndo nini kujakuanzishiana uzi huku

Nimekutext pm hujib.
 
wasafi festival 2019 mamamamamamamamamamamamamamamamamama
 
Pole naona uko desparate jamaa alikuwa anakuchezea tu ...hata mimi huwa inanitokea halafu nikipata demu mkali mtaani ..namtosa wa mtandaoni

[emoji2][emoji2]wewe nawe unapigilia msumari kwenye kidonda huoni anaugulia
Mpe moyo hapo tayari mahusiano chali
 
Mapenzi haya asikwambie mtu

Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii,mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za sim

Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi

Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso

Jana tangu asubuhi nampigia sim,hapokei SMS zangu hajibu,whasap na Jf online namuona,namtext hanijibu

Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana

Sijui kwa nini?
Mmmmh aisee mapenzi haya kwa kweli daaah yani basi tu Mungu ndo anayejua
 
Hilo linawekana kabisa. Kumbuka mwanadamu anaongozwa kwa hisia/saikolojia. Ona jinsi watu hufikia kutukanana au kuuana kwa kutofautiana katika imani. Waulize nani alimuona Mungu na hao manabii wake kama watakupa jibu. So, hilo linawezekana ila hakikisha unachukua tahadhari za kutosha.
 
Back
Top Bottom