Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

Pole sana dear
Mapenzi yana mambo ya ajabu sana
Ka vp ww jinywee hata kawine halaf muwazie mabaya tuuu usione mazur yake halaf iambie nafs yako ikubali kama huyo hakufai
lkn jana tu may be ana tatizo mpe muda
 
Teh teh

Afadhali hiyo!

Mwingine anaweza kudhani we ndo mtu wake ilhali we mwenyewe huna habari kabisa na wala huna mpango huo.

Halafu eti mwishowe anaishia kuumia nawe unabaki unashangaa tu.
 
Aisee sijui ni kwann au ni zile chattng kuna fala nlkuaga nachat nae akawaga rafk angu baadae akakaa kmyaa tu karoho kakaumaa baadae nkampotezea sikumtafuta hata jf cmuoni cjui kafia wap[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana mkuu, ila ndio hivyo.... Penye miti hakunaga wajenzi..teh[emoji28][emoji28]
 
kuliko kupoteza pesa,muda,hisia kwa mtu usiyemjua bora utumie muda huo na garama hizo katika ibada.Haingii akilini unamwita mwenzako mpenzi,wakati hamjawahi kuonana na wala hujui sura yake ni mraba au mstatili!
 
Nakutahadharisha tu mkuu don't expect too much or don't expect anything and you will never be disappointed.
 
How old are you girl? This is funny in some way[emoji847]
 
Kama unataka mawasiliano wakat hata vocha hujatuma ameamua kumute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…