Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sasa huoni umeanza kutoa siri yetu? Kwanini lakini Agata?Labda na Mimi mpenzi wako..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huoni umeanza kutoa siri yetu? Kwanini lakini Agata?Labda na Mimi mpenzi wako..
Ndomana nilitaka kujua !tupo wangapi?Sasa huoni umeanza kutoa siri yetu? Kwanini lakini Agata?
Uko peke yako...Ndomana nilitaka kujua !tupo wangapi?
Na mtoa mada ?Uko peke yako...
😂😂😂Pole inawezekana yuko busy na yule ambae wameonana nae.
Mimi na weweNa mtoa mada ?
😂😂😂😂
Kama unataka mawasiliano wakat hata vocha hujatuma ameamua kumuteMapenzi haya asikwambie mtu
Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii, mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za simu
Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi
Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso
Jana tangu asubuhi nampigia sim, hapokei SMS zangu hajibu, WhatsApp na Jf online namuona, namtext hanijibu
Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana
Sijui kwa nini?