Nipo jirani na Mloga, kama vipi nitafute nikupeleke mkuu. Usiogope kwenda hospitali, usiende ukiwa na hali mbaya, wengi tunaenda ikishakuwa late, na vifo vingi vya wabongo ni sababu ya kupuuzia(na hasa kwa sababu za kiuchumi).Aisee.ngoja nioge niende mloganzila
Nashukuru kwa ushauri mkuu
Acha utoto nenda hosp!!! Ukizembea daftari la jikoni litatembea hapo mtaani kwako.Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Jiagegedwa miaka 2 sasaCheki UPT pia
Shinikizo la dawa?Anachoma hiyo sindano kwa ugonjwa upi?Una uhakika ana shida inayohitaji antibiotics? Kama ana Malaria itasaidia?Kama ana Shinikizo la dawa dawa hiyo itasaidia?Kama ana Ukimwi dawa hiyo itasaidia?Kama ana kansa je?
Ndo najiandaa hapa mkuu nishawasiliana na mdau wangu pale emergencyNipo jirani na Mloga, kama vipi nitafute nikupeleke mkuu. Usiogope kwenda hospitali, usiende ukiwa na hali mbaya, wengi tunaenda ikishakuwa late, na vifo vingi vya wabongo ni sababu ya kupuuzia(na hasa kwa sababu za kiuchumi).
Bahati mbaya 30s na 40s wanakata moto sana, I believe upo age gap hiyo, nenda acha woga.
Sasa itakuwaje mkuuMe na sindano hapana mkuu
Nili maanisha Shinikizo la Damu !Shinikizo la dawa?
Kupitia history ndogo ya mgonjwa unapata impression she might have infection ama malaria
Lakini kwa sasa kwa maeneo ya mjini (naassume yupo mjini) malaria sio tena top disesase
Nna uhakika aslimia 90 akitumia hio atapata nafuu
Tafuta Binzari nyembamba na ndimu moja ikate halafu ichemshe ichemke sana subiri maji yapoe baada ya hapo jimwagie kichwani.Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Unajua anaumwa nini mpaka umwambie achome cefriaxone? Je kama anaumwa syphills stage 3Mtaani mnaiita pawa sefu
Kachome CEFTRIAXONE IV
Ahaaa magonjwa ya kipuuzi hayo me siwezi kupata mweeUnajua anaumwa nini mpaka umwambie achome cefriaxone? Je kama anaumwa syphills stage 3
HahahaAhaaa magonjwa ya kipuuzi hayo me siwezi kupata mwee
Hujaumwa bado wewe.Me na sindano hapana mkuu
Pole sanaToka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Usiwe na presha juu ya hilo mkuu. Tusubiri tuu,si anaogopa hospitali? Itafika mahali watampeleka hospitali hata kama wanajua kwamba anaogopa Hospitali.Inaonekana ya 80% Chanzo cha matatizo yao ni wao wenyewe trust me endelea kuogopa hospital
So wewe ukipata mtu anakwambia hivo your first impression will be Syphillis III?Unajua anaumwa nini mpaka umwambie achome cefriaxone? Je kama anaumwa syphills stage 3
Kwahiyo na wewe mtu akimwambia hivyo first treatment ni powercef?So wewe ukipata mtu anakwambia hivo your first impression will be Syphillis III?
AhaaaTafuta Binzari nyembamba na ndimu moja ikate halafu ichemshe ichemke sana subiri maji yapoe baada ya hapo jimwagie kichwani.
Miss Natafuta