Naumwa naombeni msaada

Naumwa naombeni msaada

Aisee.ngoja nioge niende mloganzila
Nashukuru kwa ushauri mkuu
Nipo jirani na Mloga, kama vipi nitafute nikupeleke mkuu. Usiogope kwenda hospitali, usiende ukiwa na hali mbaya, wengi tunaenda ikishakuwa late, na vifo vingi vya wabongo ni sababu ya kupuuzia(na hasa kwa sababu za kiuchumi).

Bahati mbaya 30s na 40s wanakata moto sana, I believe upo age gap hiyo, nenda acha woga.
 
Anachoma hiyo sindano kwa ugonjwa upi?Una uhakika ana shida inayohitaji antibiotics? Kama ana Malaria itasaidia?Kama ana Shinikizo la dawa dawa hiyo itasaidia?Kama ana Ukimwi dawa hiyo itasaidia?Kama ana kansa je?
Shinikizo la dawa?
Kupitia history ndogo ya mgonjwa unapata impression she might have infection ama malaria
Lakini kwa sasa kwa maeneo ya mjini (naassume yupo mjini) malaria sio tena top disesase
Nna uhakika aslimia 90 akitumia hio atapata nafuu
 
Nipo jirani na Mloga, kama vipi nitafute nikupeleke mkuu. Usiogope kwenda hospitali, usiende ukiwa na hali mbaya, wengi tunaenda ikishakuwa late, na vifo vingi vya wabongo ni sababu ya kupuuzia(na hasa kwa sababu za kiuchumi).

Bahati mbaya 30s na 40s wanakata moto sana, I believe upo age gap hiyo, nenda acha woga.
Ndo najiandaa hapa mkuu nishawasiliana na mdau wangu pale emergency
 
Shinikizo la dawa?
Kupitia history ndogo ya mgonjwa unapata impression she might have infection ama malaria
Lakini kwa sasa kwa maeneo ya mjini (naassume yupo mjini) malaria sio tena top disesase
Nna uhakika aslimia 90 akitumia hio atapata nafuu
Nili maanisha Shinikizo la Damu !

Kwanza inaonekana wewe ni medical personnel sijui level yako Elimu na Kada yako !!Lakini wewe ni diploma au certificate ya afya sikulaumu inawezekana kabisa huelewi kitu kinaitwa UVIDA na madhara yake !!

Dunia ya leo tunakimbilia kutotumia antibiotics kiholela .

Kwa nchi zinazo endelea Kama Tanzania ,Ceftriaxone hapaswi kuwa chaguo la kwanza kwenye antibiotics !

Kama kweli through history taking umepata guts za kung'amua kuwa ni septicemia kwanini Ceftriaxone ??ambayo niya mwisho baada ya wengine kushindwa

Matibabu Tanzania Yana haribiwa pia na wataalamu wa afya!!
STOP ONLINE TREATMENT!
 
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Tafuta Binzari nyembamba na ndimu moja ikate halafu ichemshe ichemke sana subiri maji yapoe baada ya hapo jimwagie kichwani.
Miss Natafuta
 
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Pole sana
 
Pole sana Miss!

Mi jumatano jioni hali ilibadilika gafla nikaenda hospital wakanipima wakasema naumwa(......), Nikachomwa sindano nne nkapewa vidonge lakini sikupata nafuu jumapili mchana nikapima tena nikachomwa sindano lakini sikupata nafuu Leo asubuhi nguvu ziliniishia mda naswaki nkaenda private Moja chap baada ya vipimo walichoongezea ni kwamba damu imezidi

Nipo kitandan nageuka geuka hapa
 
Back
Top Bottom