ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Nipo jirani na Mloga, kama vipi nitafute nikupeleke mkuu. Usiogope kwenda hospitali, usiende ukiwa na hali mbaya, wengi tunaenda ikishakuwa late, na vifo vingi vya wabongo ni sababu ya kupuuzia(na hasa kwa sababu za kiuchumi).Aisee.ngoja nioge niende mloganzila
Nashukuru kwa ushauri mkuu
Bahati mbaya 30s na 40s wanakata moto sana, I believe upo age gap hiyo, nenda acha woga.