Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,170
- 1,617
Njoo pm..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini muende mbali huko wakati hapahapa Bongo hamjamaliza?Yule jamaa ni hazina
Mbinguni moja kwa moja
Na akumbuke sasa hivi watu wanakwenda mbinguni kama wameitwaPole. Na mimi nilikua naumwa hivyo hivyo nikajikausha kama siku 4 nikaona nitafia ndani. Jitahidi uende hospital mama kukaa na ugonjwa nyumbani si kitu kizuri.
Una ubavu huo?Me cheti changu Kipo clear kabisa.yaani Mimi kama sijakupima mara Tatu aisee hunigegedi
Tapeli kama matapeli wengine. Aaahh Mwasibu CPA uchwara SUNZU BOBAN.nenda kwa Mwamposa basi
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Kuweka clear hii issue Hali niliyo ipitia yaan ni hatare mtu unasepa fasta fasta hatare..Eneo nililopo kuna cemetery place , watu wanaletwa Sana means huu upepo wa Cov unaondoka na watu
Taadhari za Afya ni muhimu kuendelea kuchukuliwa.
Niko hospital mkuu nasubiria majibu hapa .masaa 2 ndo majibu .ila Niko hoooiHyo ni Typhoid ama Malaria changa...! Hata mimi natumia sana Herbs...!! Ziko tiba tofauti tofauti kwasababu sijui ulipo, Tumia tiba ya Vitunguu saumu [Hivi huvikosi popote]
Menya punje zake [Hua zinatofautiana ukubwa], zikatekate kwa size ya ukubwa wa Peke ya ubuyu...
Meza punje tatu kwa Maziwa ya moto kikombe kimoja cha ¼, Kutwa mara tatu - Yaani ratio ya Masaa nane nane..
unaweza ukatumia maji ya moto kama upatikanaji wa maziwa ni ngumu ila fanya uwezalo utumie Maziwa ...
NB: Kama hali ni mbaya sana, Nashauri uende hospitali, Huenda tatizo limeongeza tatizo..
Pole sana, Kua mtulivu .Niko hospital mkuu nasubiria majibu hapa .masaa 2 ndo majibu .ila Niko hoooi
Unakohoa au mafua.Pole mkuu usikute Nina COVID mwenzenu
Sikohoi mkuu wala mafua sina hata dokta kaniuliza swali la kwanzaUnakohoa au mafua.
Leo tulimpakiza brother mmoja anakohoa na mafua Kama yotee..
Acha yaani mpaka unashindwa kuhema.
Ndio nashukuru now naendelea vyema kabisaa
I'mFirst impression utawazia
Malaria ambayo tumeitoa sababu we are almost 0 malaria mjini
Second ni Infection Na kwa hapa mjini most of cases ni Bacteria infection
Ceftriaxone sababu hatujaidentify ni bacteria gani (yenyewe ni wide spectrum antibiotic)
pia ceftriaxone sabab ataipata kirahisi na kwa gharama nzuri
Na akitumia hii atapona hutaki basi
Your welcomeMrejesho
Nimepimwa kila kitu sina shida yoyote
Nimeambiwa nipumzike tu
Nashukuru kwa maombi yenu
Hii ndio sababu mojawapo ya baadhi ya watu wengi kuwakimbia tabibu wetu.Matibabu Tanzania Yana haribiwa pia na wataalamu wa afya!!
Sure !!sikupingi kabisa nina yaona sanaHii ndio sababu mojawapo ya baadhi ya watu wengi kuwakimbia tabibu wetu.
Mmekuwa chanzo cha mateso na vifo vya wagonjwa wengi kutokana na ubovu wa elimu kwa baadhi ya wataalamu katika hii kada ya afya.
Huo ni ukweli mchungu.