Naumwa naombeni msaada

Naumwa naombeni msaada

Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu

COVID
 
Hyo ni Typhoid ama Malaria changa...! Hata mimi natumia sana Herbs...!! Ziko tiba tofauti tofauti kwasababu sijui ulipo, Tumia tiba ya Vitunguu saumu [Hivi huvikosi popote]

Menya punje zake [Hua zinatofautiana ukubwa], zikatekate kwa size ya ukubwa wa Peke ya ubuyu...

Meza punje tatu kwa Maziwa ya moto kikombe kimoja cha ¼, Kutwa mara tatu - Yaani ratio ya Masaa nane nane..

unaweza ukatumia maji ya moto kama upatikanaji wa maziwa ni ngumu ila fanya uwezalo utumie Maziwa ...

NB: Kama hali ni mbaya sana, Nashauri uende hospitali, Huenda tatizo limeongeza tatizo..
 
Eneo nililopo kuna cemetery place , watu wanaletwa Sana means huu upepo wa Cov unaondoka na watu

Taadhari za Afya ni muhimu kuendelea kuchukuliwa.
Kuweka clear hii issue Hali niliyo ipitia yaan ni hatare mtu unasepa fasta fasta hatare..
 
Hyo ni Typhoid ama Malaria changa...! Hata mimi natumia sana Herbs...!! Ziko tiba tofauti tofauti kwasababu sijui ulipo, Tumia tiba ya Vitunguu saumu [Hivi huvikosi popote]

Menya punje zake [Hua zinatofautiana ukubwa], zikatekate kwa size ya ukubwa wa Peke ya ubuyu...

Meza punje tatu kwa Maziwa ya moto kikombe kimoja cha ¼, Kutwa mara tatu - Yaani ratio ya Masaa nane nane..

unaweza ukatumia maji ya moto kama upatikanaji wa maziwa ni ngumu ila fanya uwezalo utumie Maziwa ...

NB: Kama hali ni mbaya sana, Nashauri uende hospitali, Huenda tatizo limeongeza tatizo..
Niko hospital mkuu nasubiria majibu hapa .masaa 2 ndo majibu .ila Niko hoooi
 
Sitak
First impression utawazia
Malaria ambayo tumeitoa sababu we are almost 0 malaria mjini
Second ni Infection Na kwa hapa mjini most of cases ni Bacteria infection
Ceftriaxone sababu hatujaidentify ni bacteria gani (yenyewe ni wide spectrum antibiotic)
pia ceftriaxone sabab ataipata kirahisi na kwa gharama nzuri

Na akitumia hii atapona hutaki basi
I'm
 
Matibabu Tanzania Yana haribiwa pia na wataalamu wa afya!!
Hii ndio sababu mojawapo ya baadhi ya watu wengi kuwakimbia tabibu wetu.
Mmekuwa chanzo cha mateso na vifo vya wagonjwa wengi kutokana na ubovu wa elimu kwa baadhi ya wataalamu katika hii kada ya afya.
Huo ni ukweli mchungu.
 
Sure !!sikupingi kabisa nina yaona sana
 
Back
Top Bottom