Naunga mkono awamu ya 6 kuwarudisha wazee kwenye uongozi. Awamu ya 5 vijana wengi walikuwa VIFUTU

Ninayo imani wako vijana waadilifu wasio na mihemko wengi sana! Kama kiongozi wa juu akionyesha nia ya uongozi bora- Hebu ona Hussen Mohamed Bashe alikuwa wapi? Aliishia kutekwa tu na yule pepo.
Kweli katiba Mpya ije tu. Watu wameteseka sana. Huku wapinzani walikuwa na uwezo wa kulia kwa sauti lakini ndani ya ccm watu waliumia na kulia kimyakimya
 
Tatizo mwendazake aliteua vijana kama anavyoteua mashambaboy wake kuwapangia kazi shamba za kila siku.

Semina ni kitu muhimu sana.yeye kafunga semina za uongozi unategemea nini maana unateua mtu hata mipaka ya kazi.yake haijui..

Rc ana mfokea igp.
Dc anamfokea Rc.
Hakukua na miiko wala utaratibu katika uongozi wa awamu ya mwendazake.
Ujinga kabisa ule mkuu....
 
Japo mimi ni mtu mzima,tatizo sio vijana, tatizo ilikuwa yule mtu mzima aliyewateua na akaziba masikio pale vijana wake walipovurunda.
La msingi vijana wengi wanatakiwa kuaandaliwa kushika nyadhifa za uongozi mapema iwezekanavyo,then fair and professional vetting committee inatoa nani amepata moshi mweupe.
Bado hao wateule wanaendelea kusaidiwa kufanya mambo sahihi.
 
Dunia ya Leo inataka vijana wenye new ideas. Bahati mbaya hapa kwetu waliteua makapi. Ona nchi za ulaya, mawaziri wakuu na mawaziri wengi ni vijana under 45.
If you nominate an old guy to lead you, you are choosing to be led to the grave because that is the only place they are heading to.
Kama mtu miaka ya sabini ya mwanzo kabisa alikua kiongozi na jimboni kwake mpaka leo 50 + years jimboni hakuna maji Safi na salama, unategemea atakuja na idea gani nzuri ya kutuletea maendeleo?
Angalia kampuni Kama Vodacom, every few years wanaleta new blood at the helm ili hao vijana waje na new positive ideas.
Hawa wazee 70+ huwa wanasinzia tu kwenye mikutano.

KWANI BUNGENI HAMUWAONI? KUNA YULE ANAYETOKEA JIMBO LENYE WACHAWI WENGI ALIYESEMAGA FULANI LAZIMA AENDELEE NA UONGOZI APENDE ASIPENDE
Nilimuangaliaaa..
 
Dikteta alikuwa ni kijana?
 
Yeye ndiyo alikuwa anaagiza
 
Lakini kwa bongo wazee wananafuu kuliko vijana, nadhani mfumo wetu ni mbovu sn
 
Awamu hi ni ya5 rais wa6.Unaposema awamu ya6 ni sawa na ktk mchezo wa mpira wenye dk90 et kwakuwa wacheyaji wamepumzika baada ya dk45 za kwanza wanapoingia tena uwanjani useme mechi nyingine inakuja?
Tunaongelea mtawala aliyepo kwa sasa
 
Awamu hi ni ya5 rais wa6.Unaposema awamu ya6 ni sawa na ktk mchezo wa mpira wenye dk90 et kwakuwa wacheyaji wamepumzika baada ya dk45 za kwanza wanapoingia tena uwanjani useme mechi nyingine inakuja?
Hujui chochote wewe. Nenda Facebook
 
Sexless
 
Vijana waliaibisha sana Taifa hilli
 
Hao vijana wachache walioharibu hawawakilishi utendaji wa vijana wote wa Tz.

Hiyo 'sample' uliyotumia ni ndogo mno kufanya hitimisho,hapo umechemsha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…