Sa7ya yeye akapitiliza mipaka akawa jambazi kabisaMtu kuambiwa tu wewe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, ghafla anakuwa Mwanajeshi/Polisi/Hakimu/Bwana Jela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa7ya yeye akapitiliza mipaka akawa jambazi kabisaMtu kuambiwa tu wewe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, ghafla anakuwa Mwanajeshi/Polisi/Hakimu/Bwana Jela?
Kweli katiba Mpya ije tu. Watu wameteseka sana. Huku wapinzani walikuwa na uwezo wa kulia kwa sauti lakini ndani ya ccm watu waliumia na kulia kimyakimyaNinayo imani wako vijana waadilifu wasio na mihemko wengi sana! Kama kiongozi wa juu akionyesha nia ya uongozi bora- Hebu ona Hussen Mohamed Bashe alikuwa wapi? Aliishia kutekwa tu na yule pepo.
Tutajua huko huko mbele kwa mbele.Na hao wakina Babu wakifa succession plan inakuaje?
Dikteta alikuwa ni kijana?Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.
Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Yeye ndiyo alikuwa anaagizaJapo mimi ni mtu mzima,tatizo sio vijana, tatizo ilikuwa yule mtu mzima aliyewateua na akaziba masikio pale vijana wake walipovurunda.
La msingi vijana wengi wanatakiwa kuaandaliwa kushika nyadhifa za uongozi mapema iwezekanavyo,then fair and professional vetting committee inatoa nani amepata moshi mweupe.
Bado hao wateule wanaendelea kusaidiwa kufanya mambo sahihi.
Lakini kwa bongo wazee wananafuu kuliko vijana, nadhani mfumo wetu ni mbovu snDunia ya Leo inataka vijana wenye new ideas. Bahati mbaya hapa kwetu waliteua makapi. Ona nchi za ulaya, mawaziri wakuu na mawaziri wengi ni vijana under 45.
If you nominate an old guy to lead you, you are choosing to be led to the grave because that is the only place they are heading to.
Kama mtu miaka ya sabini ya mwanzo kabisa alikua kiongozi na jimboni kwake mpaka leo 50 + years jimboni hakuna maji Safi na salama, unategemea atakuja na idea gani nzuri ya kutuletea maendeleo?
Angalia kampuni Kama Vodacom, every few years wanaleta new blood at the helm ili hao vijana waje na new positive ideas.
Hawa wazee 70+ huwa wanasinzia tu kwenye mikutano.
KWANI BUNGENI HAMUWAONI? KUNA YULE ANAYETOKEA JIMBO LENYE WACHAWI WENGI ALIYESEMAGA FULANI LAZIMA AENDELEE NA UONGOZI APENDE ASIPENDE
Nilimuangaliaaa..
Tunaongelea mtawala aliyepo kwa sasaAwamu hi ni ya5 rais wa6.Unaposema awamu ya6 ni sawa na ktk mchezo wa mpira wenye dk90 et kwakuwa wacheyaji wamepumzika baada ya dk45 za kwanza wanapoingia tena uwanjani useme mechi nyingine inakuja?
uwe unafafanuwa.Tunaongelea mtawala aliyepo kwa sasa
Ni aina ya nyoka fulani ambaye huwa anavimba kabla ya kung'ataKifutu ni nani?
Hujui chochote wewe. Nenda FacebookAwamu hi ni ya5 rais wa6.Unaposema awamu ya6 ni sawa na ktk mchezo wa mpira wenye dk90 et kwakuwa wacheyaji wamepumzika baada ya dk45 za kwanza wanapoingia tena uwanjani useme mechi nyingine inakuja?
Owkey👏Ni aina ya nyoka fulani ambaye huwa anavimba kabla ya kung'ata
Sawa mkuuuwe unafafanuwa.
SexlessAwamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira ninawaelewa sana. Hawataki UKIFUTU kuendelea.
Vijana wa awamu ya 5 mmewafanya vijana kutoaminika tena!
Vijana waliaibisha sana Taifa hilli"Babaaaa... Pesa, madaraka na umaarufu ona umewapatia vijana sasa wanakosa hekima na utu" -ROMA
Hii ni kweli vijana wengi waliaminiwa na bwana yule lkn wakaishia kua wavimbaji, wapenda sifa na ulevi wa madaraka.
Vetting ni muhimu sana, hizi teuzi mtu anaamka tu na kumteua kijana wa hovyo kisa chawa msifia chama na viongozi naona ndio mwiba ktk nchi hii.
Hao vijana wachache walioharibu hawawakilishi utendaji wa vijana wote wa Tz.Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.