Naunga mkono maandamano ila Mbowe na Lissu nao wawe mbele na familia zao tarehe Septemba 23

Hujawahi kumuona Mbowe na familia yake kwenye maandamano?

Hivi huko Uvccm ni kambi ya vichaa?
 
just admit you are a coward and get on with it. Unatafuta excuse tu ya kususia maandamano
 
alaf siku ya maandamano wanywe vismati,mbowe vitano,lisu 7,mnyika 3,godbless 8,,,,,,iliwapoteze uoga,,alafu wakikimbizwa na polisi wawe wanakimbia kama wanacheza rege kama lucy dube.
 
Wewe mbowe akili huna tanguliza familia Yako sisi tunafuata nyuma
Baba mpumbavu uiweka familia yake kwenye hatari. Hao Mbowe na Lema unajua wanarisk maisha yao. Likitokea jambo familia zao zinabaki na wajane na hata yatima.

Kwako hiyo haitoshi? Unaitaka familia yake pia? Je mnataka kufuta kizazi chao chote?

Kwa kila wazo la kishetani unalazo litakurudia. Mungu wetu ni Mungu wa haki.
 
Basi aende mwenyewe asiwaite wananchi sababu wanachi nao ni familia za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…