Hakuna anaekataa kusijengwe uwanja, watu wanapinga kwakuwa si kipaumbele maana sehemu Kama Dom ingefaa sana kuwa na inter airport kabla ya kwenda kujenga hukoWengi waliotembea nchi za wenzetu hasa zilizoendelea, kuwa na ka Airport kama Chato sio mbaya, uwanja wa ndege sehemu yoyote ile ni muhimu hasa katika kukuza uchumi, labda iwe sababu kwanini Chato na sio Pemba au la, dola ijitahidi sehemu kama Chato ziwe na Airport..
Tatizo hapa ni sababu ndipo Rais wetu atokapo, zaidi ya hapo wengine tunaona poa tu..
Kweli, hata ile iliyotakwa kujengwa Bagamoyo poa tu, nakubaliana nawe twende na kipaumbele...Hakuna anaekataa kusijengwe uwanja, watu wanapinga kwakuwa si kipaumbele maana sehemu Kama Dom ingefaa sana kuwa na inter airport kabla ya kwenda kujenga huko
Kesho akipiga upande wa pili mtadai anayafuta ukuu wa wilaya.Pasco hilo jiwe limetuwa penyewe !! Umenikumbusha ofisi kubwa ya spika Urambo [emoji87] [emoji23]
Hivi kwa nini Dom haijawa kipaumbele ktk kujenga uwanja wa kimataifa??Hakuna anaekataa kusijengwe uwanja, watu wanapinga kwakuwa si kipaumbele maana sehemu Kama Dom ingefaa sana kuwa na inter airport kabla ya kwenda kujenga huko
Labda JPM mwenyewe atageuka kuwa kivutio cha utalii! Lakini je, akitoweka Duniani, wananchi wa Chato au wanawe ndio watakuwa vivutio?Mkuu Paschal na wewe siku zingine sijui huwa unatumia kinywaji gani jioni? Mwanza kwenyewe hawana uwanja wa ndege, Mkulu akimaliza muda wake nani atakuwa anaenda Chattle?
Mkuu unatafta wasio julikana wakupime mkojo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Labda JPM mwenyewe atageuka kuwa kivutio cha utalii!
akili ndogo, umeshindwa kuelewa bandiko!Pascal Mayalla teuzi zozote za ' Magogoni Taita ' zikija kuanzia leo hii na kuendelea usipokuwepo nakuomba haraka sana ukaoge maji ya Bahari kule Kisiwa Ndui Zanzibar kwani utakuwa na ' Nuksi ' iliyotukuka kabisa ila kwa hili ' bandiko ' lako naomba niwe tu wa Kwanza kukuambia anza sasa kufanya mazoezi ya Kula Kiapo, Kuongea Kimamlaka na Kuvalia Suti zile ' Classic ' kabisa kwakuwa nina uhakika ' ngoma ' imeshatiki kwani ' Magogoni Taita ' hupenda mno ' Sifa ' kama hizi ulizozitoa katika hitimisho la bandiko lako.
Mkuu Pascal Mayalla sahihisha ni GbadoliteWanabodi,
Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa kimataifa eneo la Omukajunguti na badala yake uwanja wa kimataifa unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi Naunga Mkono Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika kushuhudia miundombinu na kula raha Chato.
Justification why not Omukajunguti
imetolewa kuwa eneo hilo ni swamp area, ambayo ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is
swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows, watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.
Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.
Kama akiwa waziri tuu alishusha the best in Chato, sasa hivi alivyo, atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya ajabu, vitu vinaota, na kuna kitu moja kimeshuka na kupanda juu, hii kitu sii kitu sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather, hadi WiFi Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili, kama haya tunayoyaona ni miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.
Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni natural God given only, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, **** mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast).
Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.
Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.
Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.
Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
nilitaka kuandika matapu matapu nikasema labda kuna point ngoja nisome then bwana pascal kanishawishi na mimi nikubali kuwa nyumbani kwanza sarcastic indeedWanabodi,

akili ndogo, umeshindwa kuelewa bandiko!
Mkuu hebu na wewe tetea kwa hoja hili la MSD, TRA, International Airport etc kukimbizwa kijijini Chato wakati mkoani (Geita) hakuna huduma hizo!! .Kesho akipiga upande wa pili mtadai anayafuta ukuu wa wilaya.
Nitake radhi upesi kwa kuniita Bwege Nazi kabla sijakuchafulia hapo kibaruani kwako.Hivi kumbe na Wewe ' Bwege Nazi ' siku hizi unajiona una akili kubwa? Kwa taarifa yako tu ' Kamarada ' wangu Paskali ameshanielewa kwani tunaelewana vizuri sana tu kwa lugha zetu zilizotukuka kabisa za Kifasihi hasa katika Uandishi au uwasilishaji wa mada ila yawezekana sana Wewe ' Guluguja ' umeshindwa kulitambua / kulielewa / kuling'amua.