Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Wengi waliotembea nchi za wenzetu hasa zilizoendelea, kuwa na ka Airport kama Chato sio mbaya, uwanja wa ndege sehemu yoyote ile ni muhimu hasa katika kukuza uchumi, labda iwe sababu kwanini Chato na sio Pemba au la, dola ijitahidi sehemu kama Chato ziwe na Airport..
Tatizo hapa ni sababu ndipo Rais wetu atokapo, zaidi ya hapo wengine tunaona poa tu..
Hakuna anaekataa kusijengwe uwanja, watu wanapinga kwakuwa si kipaumbele maana sehemu Kama Dom ingefaa sana kuwa na inter airport kabla ya kwenda kujenga huko
 
Hakuna anaekataa kusijengwe uwanja, watu wanapinga kwakuwa si kipaumbele maana sehemu Kama Dom ingefaa sana kuwa na inter airport kabla ya kwenda kujenga huko
Kweli, hata ile iliyotakwa kujengwa Bagamoyo poa tu, nakubaliana nawe twende na kipaumbele...
 
Mkuu Paschal na wewe siku zingine sijui huwa unatumia kinywaji gani jioni? Mwanza kwenyewe hawana uwanja wa ndege, Mkulu akimaliza muda wake nani atakuwa anaenda Chattle?
Labda JPM mwenyewe atageuka kuwa kivutio cha utalii! Lakini je, akitoweka Duniani, wananchi wa Chato au wanawe ndio watakuwa vivutio?
 
The Guardian - Back to homeall

d4721538-fc3b-4f1e-8819-cde118e0e453-2060x1236.jpeg

Cities
Urban decay
President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite - in pictures

Cities is supported by
About this content
Shares
3316
Comments
12

The president of what was then Zaire lavished millions on a palace complex and international airport in the remote town of Gbadolite. Guardian photographer Sean Smith heads for the jungle to document the pitiful shell that remains

Where Concorde once flew: the story of Mobutu’s ‘African Versailles’

Sean Smith in Gbadolite

Tuesday 10 February 2015 13.04 GMTLast modified on Wednesday 31 May 2017 11.17 BST

  • A mural of former President Mobutu outside the mayor’s office in Gbadolite. When Joseph Desire Mobutu took power he renamed himself Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Waza Banga (meaning ‘the all-powerful warrior who, because of endurance and an inflexible will to win, will go from conquest to conquest leaving fire in his wake’)

    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • The air-traffic control tower of Gbadolite’s international airport, whose runway is long enough to accommodate Concorde. Now it welcomes only two or three tiny aircraft a week from the UN and a commercial operator
    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • Inside the abandoned control tower

    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • The VIP arrivals terminal: Pope John Paul II, UN secretary-general Boutros Boutros Ghali and American televangelist Pat Robertson may have all passed through here
    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest
  • Advertisement

  • Inside the main airport terminal

    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • The main terminal at Gbadolite airport
    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • The Water Ministry building was never finished and is now used as a school

    Photograph: Sean Smith for the Guardian

  • The Motel Nzekele, built by Mobutu, had five stars when it opened in 1979

    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • The motel’s empty swimming pool. Guests reportedly included the pope, the Belgian king and French president François Mitterrand
    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • Ripped cinema seating inside the Motel Nzekele

    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • An unfinished bridge in Gbadolite
    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest
  • Advertisement

  • The main gates to Mobutu’s private palace still stand. Locals charge visitors $20 to access the former president’s estate

    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • The entrance gate and road to the main palace complex
    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • Walking among the ruins. Mobutu’s private palace, seven miles outside town in Kawele, once brimmed with paintings, sculptures, stained glass, ersatz Louis XIV furniture and marble from Carrara

    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • Francois Kosia Ngama, whose grandmother was a teacher to Mobutu’s mother, stands in the disused swimming pool
    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest
  • Advertisement

  • Mobutu’s palace. In its heyday it employed more than 700 staff - including chauffeurs, chefs and servants - as well as 300 soldiers

    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • Inside the palace grounds. Slowly but surely, the palace is being reclaimed by the jungle
    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • Inside Mobutu’s bedroom. The entire roof of the palace has gone, leaving only a skeleton of red steel girders

    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest

  • A fountain with statues of lions. Only two of the original four remain
    Photograph: Sean Smith for the Guardian

    FacebookTwitterPinterest
 
Pascal Mayalla teuzi zozote za ' Magogoni Taita ' zikija kuanzia leo hii na kuendelea usipokuwepo nakuomba haraka sana ukaoge maji ya Bahari kule Kisiwa Ndui Zanzibar kwani utakuwa na ' Nuksi ' iliyotukuka kabisa ila kwa hili ' bandiko ' lako naomba niwe tu wa Kwanza kukuambia anza sasa kufanya mazoezi ya Kula Kiapo, Kuongea Kimamlaka na Kuvalia Suti zile ' Classic ' kabisa kwakuwa nina uhakika ' ngoma ' imeshatiki kwani ' Magogoni Taita ' hupenda mno ' Sifa ' kama hizi ulizozitoa katika hitimisho la bandiko lako.
akili ndogo, umeshindwa kuelewa bandiko!
 
Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa kimataifa eneo la Omukajunguti na badala yake uwanja wa kimataifa unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi Naunga Mkono Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika kushuhudia miundombinu na kula raha Chato.

Justification why not Omukajunguti
imetolewa kuwa eneo hilo ni swamp area, ambayo ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is
swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows, watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.

Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.

Kama akiwa waziri tuu alishusha the best in Chato, sasa hivi alivyo, atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya ajabu, vitu vinaota, na kuna kitu moja kimeshuka na kupanda juu, hii kitu sii kitu sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather, hadi WiFi Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili, kama haya tunayoyaona ni miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.

Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni natural God given only, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, **** mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast).

Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
Mkuu Pascal Mayalla sahihisha ni Gbadolite
 
Lampuni iliyopita tender ya kujenga uwanja ni ZMayanga Construction ambayo MD wake alikuwa Magufuli akiwa waziri
 
Sawa...mkuu hatuna budi sasa kuamisha makao makuu ya mkoa wa geita na yawe chato, maana kwa mjibu wa upeo wako baada ya miaka kumi chato itaipeta mbali geita....tukiamisha makao makuu itakuwa rahis chato kuipa heshima ya jiji. Ila umesahau kuweka namba mkuu wasio[emoji185] hawata kupigia
 
Wanabodi,

Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa kimataifa eneo la Omukajunguti na badala yake uwanja wa kimataifa unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi Naunga Mkono Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika kushuhudia miundombinu na kula raha Chato.

Justification why not Omukajunguti
imetolewa kuwa eneo hilo ni swamp area, ambayo ni very lame excuse, kama watu wanaweza kujenga hadi baharini kwa land reclamation, what is
swamp area kama mjenzi anajua anachokifanya ikiwemo kufanya elevation na kuweka vizuri water flows, watu waende Holland wakaone nchi iko under sea level, watu wamefanya land reclamation na wamejenga. Kinachotakiwa ni kujenga water flows tuu, hivyo argument ya swamp area doesn't hold water!. Ile hoja ya kuogopa kulipa fidia wageni, ni childish, assence ya fidia sio land bali ni development done on that land. Kama kuna mgeni mmemuacha hadi amejenga, then anastahili fidia. Hivyo hoja ya fidia nayo ni hoja tuu ya nguvu lakini haina nguvu ya hoja.

Justification Why Chato International Airport
Japo sijabahatika kuzisikia hoja kwa nini ni Chato International Airport, lakini mimi nimebahatika kufika Chato ile ya jamaa yangu fulani akiwa waziri, ndio alikuwa akimiliki the best hotel ya Chato ile. Kuna wakati nilikuwa na assignment ya mwezi mzima Biharamulo, lakini niliishi Chato, nikapanga kwenye hiyo the best hotel in Chato, ni hotel ya vijumba jumba vya detached suites.

Kama akiwa waziri tuu alishusha the best in Chato, sasa hivi alivyo, atashusha nini?.
Nimeteremka tena Chato na kiukweli Chato inabadilika kwa speed ya ajabu, vitu vinaota, na kuna kitu moja kimeshuka na kupanda juu, hii kitu sii kitu sii mchezo!. Sakafu tuu ni marble na granite, sofa za rooms ni pure leather, hadi WiFi Chato!, kwa mambo kama haya na kwa mwendo kama huu wajameni, uwanja wa kimataifa Chato ni halali na unastahili, kama haya tunayoyaona ni miaka mawili tuu, then kufikia miaka 10, Chato itakuwa an international city kama Ggabolite ya Mabotu Sesse Seko au Yamasoukro ya, Félix Houphouët-Boigny.

Utalii Sio Natural God Given Only, Hata Man Made.
Wengi wanadhani vivutio vya utalii ni natural God given only, sii wengi wanajua kuwa tourism attractions zinaweza kuwa man made kwa kujenga miundombinu ya kufa mtu ya kuvutia watalii, **** mji wa Sun City South Africa, au kuna mamia ya watalii wanamiminika kushuhudia a Catholic minor basilica dedicated to Our Lady of Peace in Yamoussoukro, the administrative capital of Côte d'Ivoire (Ivory Coast).

Kwa Nini Wanabeza Chato?.
Hivyo kuna wengi wanabeza uwanja wa Chato. kwa kijicho tuu cha wivu wa kwanini na sio wivu wa maendeleo, the real and true charity, begins at home, mimi naunga mkono 100% kwa 100%, kama umejaaliwa uwezo, anza kwanza kujenga kwako, ndipo ukajenge na kwa wengine!. Pia kuna uwezekano hata huu uwanja wa Chato, wanao beza ni wasiojua kutazama mbali, kwa sisi tuliofika Chato, na kuona vitu vinavyopanda, na hii ni miaka miwili tuu, then amini usiamini, baada ya miaka 10, watu watakuwa wanamiminika Chato, kuliko Mikumi!.

Naunga Mkono Uwanja wa Chato, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Walifanya Makosa?.

Hivyo naunga mkono ujenzi wa uwanja wa Chato. Kiukweli Nyerere alifanya makosa kuhusu Butiama, Mwinyi akafanya makosa kuhusu kwao, Mkapa alifanya makosa kuhusu kwao, Kikwete amefanya makosa Msoga, Magufuli asifanye kabisa makosa Chato, miundombinu ya kuifikia Chato ikikamilika, kitu cha kuitumia miundombinu hiyo kitaibuka.

Chato oye!.
Mungu ibariki Tanzania.
Jumapili Njema.
Paskali
cc. britanicca
nilitaka kuandika matapu matapu nikasema labda kuna point ngoja nisome then bwana pascal kanishawishi na mimi nikubali kuwa nyumbani kwanza sarcastic indeed
 
Huyu jamaa anatumi kejeli kufikisha ujumbe wake sasa ili umuelewe huo mji wa mobutu aliojenga uwanja wa ndege nadhani sasa hivi wanatua kunguru anachokimaanisha huyu jamaa ili uelewe inabidi utulie kumuelewa hahahahaha
 
akili ndogo, umeshindwa kuelewa bandiko!

Hivi kumbe na Wewe ' Bwege Nazi ' siku hizi unajiona una akili kubwa? Kwa taarifa yako tu ' Kamarada ' wangu Paskali ameshanielewa kwani tunaelewana vizuri sana tu kwa lugha zetu zilizotukuka kabisa za Kifasihi hasa katika Uandishi au uwasilishaji wa mada ila yawezekana sana Wewe ' Guluguja ' umeshindwa kulitambua / kulielewa / kuling'amua.
 
asee mkuu... chato ipi unayozungumzia wewe?
labda wakashangae yale magorofa yalio jengwa kwa kina mkulu pale

chato n kijijini vile vilami na maji vskuzingue ....Hakuna hata maduka makubwa ya kufanya shopping na wao wenyewe wanajua je unajua shopping wanafanyia ap?

chatle ni uchafu brother yani leo umepuyanga

bora angewajengea kiwanda cha samaki maana samaki chato ni bei rahisi na kuna lami to mwanza
uwanja ni takataka nyingine hakuna mtu atashukia chato aende bukoba au aje mwanza au geita
 
Bomoa kimara, piga chini Omukajunguti jenga, Chato uishi miaka mingi yenye wingi wa kheri. I love my country, I love chattle
 
Hivi kumbe na Wewe ' Bwege Nazi ' siku hizi unajiona una akili kubwa? Kwa taarifa yako tu ' Kamarada ' wangu Paskali ameshanielewa kwani tunaelewana vizuri sana tu kwa lugha zetu zilizotukuka kabisa za Kifasihi hasa katika Uandishi au uwasilishaji wa mada ila yawezekana sana Wewe ' Guluguja ' umeshindwa kulitambua / kulielewa / kuling'amua.
Nitake radhi upesi kwa kuniita Bwege Nazi kabla sijakuchafulia hapo kibaruani kwako.

Kubali kuwa umetoka kapa kumuelewa paskali.
 
Back
Top Bottom