Kama anayeamuwa uwepo wa katiba mpya ni rais, hilo halitaweza kutokea. İli iweje?Kwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana. Kipekee naungana na wazo ...
kwa maoni yangu nadhani suala la katiba sio muhimu kabisa kwa sasa ukilinganisha na yale mahitaj muhimu sana ya wananchi kama vile maji, afya, elimu, kilimo n.k ambayo ni muhimu zaidiKwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana. Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda...
Kama anayeamuwa uwepo wa katiba mpya ni rais, hilo halitaweza kutokea. İli iweje?
Watu wanaogelea kwenye asali we eti unasemaje?
Si kwamba hawapendi amani, katiba inayoenda kutishia madaraka yao ni dangerous zaidCCM hawatakaa wakubali, hawa Jamaa huwa hawapendi Amani
Sababu za kutaka katiba mpya ni kubadili mfumo mzima wa utawala ambao ndio unasababisha kukosekana huduma bora ambazo wewe unaona ni muhimu.kwa maoni yangu nadhani suala la katiba sio muhimu kabisa kwa sasa ukilinganisha na yale mahitaj muhimu sana ya wananchi kama vile maji, afya, elimu, kilimo n.k ambayo ni muhimu zaidi
naunga mkono hojaKwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana. Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba mpya lianze na wakati wa kuandika katiba hiyo wasijumishw Vyama vya Siasa na jukumu hili waachiwe Wanasheria ili tupate Katiba Mpya. Ameendelea kusema kuwa tayari tunayo draft ya Mhe. Warioba ambayo itawaongoza Wataalam hao kuja na Katiba mpya na nzuri na iliyoboreshwa. Binafsi ninaafiki mawazo yake.
Tunataka Katiba Mpya bila masharti yeyote
naunga mkono hoja
p
Ccm na katiba mpya ni sawa na nyoka na panya
CCM kamwe haitakubali
Tatizo si Katiba Mpya... Mkitaka Mpya watakuja nayo alafu muaminishwe kwamba ni Mpya!Iwe jua, iwe mvua wananchi wanataka Katiba Mpya.
Mkuu bado upo CCM au umetukimbia ?naunga mkono hoja
p
Huoni aibu hadi leo bado nchi inayoongozwa na chama chako haina uhakika katika huduma kama maji na elimu?kwa maoni yangu nadhani suala la katiba sio muhimu kabisa kwa sasa ukilinganisha na yale mahitaj muhimu sana ya wananchi kama vile maji, afya, elimu, kilimo n.k ambayo ni muhimu zaidi
naona tu tatizo binafsi kwenye utawala na madaraka ya Rais ambayo kimsingi hayana tatizo kabisa as we are engaging. Nadhani umesahau uchaguzi🤣Sababu za kutaka katiba mpya ni kubadili mfumo mzima wa utawala ambao ndio unasababisha kukosekana huduma bora ambazo wewe unaona ni muhimu.
Kupitia katiba mpya madaraka ya rais yatapunguzwa ili awajibishwe. Rais akiweza kuwajibishwa na wateule wake watawajibika. Hakutakuwa na ufisadi holela kwenye miradi ya maji, afya na elimu. Shughuli za chama zitatenganishwa na za serikali na kila mmoja atawajibika kivyake.
Bila katiba mpya hakuna huduma bora za afya, elimu wala maji. Hata ccm wanajua hilo lakini wanaogopa mabadiliko yatawafyekelea mbali.
kwa maoni yangu nadhani suala la katiba sio muhimu kabisa kwa sasa ukilinganisha na yale mahitaj muhimu sana ya wananchi kama vile maji, afya, elimu, kilimo n.k ambayo ni muhimu zaidi