Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ndiyo hayo maisha yaelezwe humo kwenye katiba ndiyo iwe mpya,Wewe ni mmoja kati ya wasiojua katiba ni nini, katiba ndiyo inayosimamia maisha yako ya kila kitu kuanzia asubuhi mpaka asubuhi, yaani haki yako ya kuishi na kupata mahitaji yako yote muhimu ya kila siku. Ndani ya katiba serikali inalazimika kuhakikisha unapata uongozi bora, maji safi na salama, chakula, elimu, huduma za afya, malazi bora na huduma za mawasiliano yanayokuwezesha kutoka sehemu moja kwenda nyingine, vyote hivi vinatekelezwa kutokana na kodi unayolipa serikalini.
HAYA NDIYO MATAKWA YA KATIBA.
uongozi tayari upo na hakuna upya kwenye hilo.. na hicho ndicho kinapoteza maana na upya wa hicho kinachoitwa katiba mpya 🐒