Mkuu, katika members naowaona wana ufahamu mzuri wa haya mambo ya siasa na hasa Katiba ya Nchi, mmoja wapo ni wewe; kumbe ndivyo sivyo. Ahsanteyaelezee basi kwenye hiyo katika mpya unayoitaka ili iwe mpya, sio kuzungumzia urasi tu kitu ambacho kipo taya kwenye katiba ya sasa, huo upya uko wapi sasa?
sasa huo upya uko wapi π
Hii ya sasa siyo explicitHii tuliyonayo inatumika ipasavyo??
Nadhani tuelimishane kwanza kwa hii iliyopo wengi waielewe
Ili ikija hiyo mpya iwe ni kwa uhitaji wa wengi na kugusa maslahi ya wengi.
Kwa hali jinsi ilivyo sasa naona kama wanaolilia katiba mpya ni wanasiasa tu kwa interest zao binafsi.
Yaani wapate wepesi kufikia lengo la kushika dola.
Katiba nzuri inatakiwa iwe kama moto.Tatizo si Katiba Mpya... Mkitaka Mpya watakuja nayo alafu muaminishwe kwamba ni Mpya!
Nionavyo tatizo kubwa ni wananchi pamoja na uelewa & mwamko mdogo!
Kwao chochote kitakacholetwa na ccm sawa tu!
muhimu zaidi ni haki na uhuru wa maoni na mtazamo wa kila mwananchi kuskizwa bila makasiriko na kuhehimiwa bila chuki na mihemko πMkuu, katika members naowaona wana ufahamu mzuri wa haya mambo ya siasa na hasa Katiba ya Nchi, mmoja wapo ni wewe; kumbe ndivyo sivyo. Ahsante
MAJIZI CCM HAYATAKI KATIBA MPYA ITAWAFUNGA JELAKwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana.
Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba mpya lianze na wakati wa kuandika katiba hiyo wasijumuishwe Vyama vya Siasa na jukumu hili waachiwe Wanasheria ili tupate Katiba Mpya.
Ameendelea kusema kuwa tayari tunayo draft ya Warioba ambayo itawaongoza Wataalam hao kuja na Katiba mpya na nzuri na iliyoboreshwa. Binafsi ninaafiki mawazo yake.
Unaweza kusema hiyo ndio njia pekee ambayo CCM inatengeneza, lakini njia nyingine ni CCM kupasuka na hii itatokea sooner or later. Maana wanatumia majeshi ya ulinzi na usalama kwa kuendelea kukaa madarakani kwa gharama yeyote ile, sioni kwa Tanzania hii kutokeaUzoefu kutoka duniani kote kabisa unaonyesha kwamba Katiba Mpya zilizo nzuri KAMWE hazijawahi kupatikana hivi hivi tu bure bure kwa njia za amani bila ya kuingia gharama kubwa zaidi ya Machozi, Jasho na Damu. Nchi zote kabisa ambazo Leo hii zina Katiba nzuri hapa duniani zimewahi kuingia gharama za namna hiyo, hakuna hata nchi Moja ambayo Wananchi wake wamepata Katiba yao nzuri bila ya kupitia hatua hiyo ngumu, mbaya na ya hatari.
Mifano ya uthibitisho juu ya suala hili ipo mingi Sana karibia kwenye nchi zote kabisa hapa duniani. Mathalani, majirani zetu wa Kenya walipata Katiba yao waliyonayo hivi Sasa (ambayo kwa kiasi kikubwa Sana ina sifa za kuwa Katiba nzuri), waliipata Katiba hiyo baada ya kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2007/2008 baada ya Uchaguzi Mkuu kwenye nchi hiyo. Vita hiyo ndio kiini cha kulazimisha kupatikana kwa Katiba yao waliyonayo hivi Sasa.
Huyu ni mtoto wa mmoja wa wazee wa hovyo nchini Makamba, hawa ni wapotoshaji na wanatetea matumbo yao tu. Wanaogopa katiba mpya kama rasimu ya tume ya Warioba ilivyopendekeza itawatoa kwenye ufalme waliojitengenezeaMakamba Snr alisema Katiba Mpya haitaleta ugali mezani.
Wewe mzee Makamba kama kuna hukumu huko wewe kuni na uzao wako, unajua kweli ya mapungufu ya hii katiba. Na mwenzako Wassira kazi yenu ni kupotosha kweli kwa maslahi yenu, hamna uzalendo kama Mwalimu Nyerere kukemea uovu, mlaaniwe na vizazi vyenu tena tutawaona mnavyodhalilikamuhimu zaidi ni haki na uhuru wa maoni na mtazamo wa kila mwananchi kuskizwa bila makasiriko na kuhehimiwa bila chuki na mihemko π
SawaTanzania ni kisiwa cha amani Africa
Ni kwasababu tuna uongozi thabiti na serikali imara
We are not peaceful because of upinzani uchwara
ni jambo la maana sana kurelax unapozunguzia jambo hili muhimu sana kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania..Wewe mzee Makamba kama kuna hukumu huko wewe kuni na uzao wako, unajua kweli ya mapungufu ya hii katiba. Na mwenzako Wassira kazi yenu ni kupotosha kweli kwa maslahi yenu, hamna uzalendo kama Mwalimu Nyerere kukemea uovu, mlaaniwe na vizazi vyenu tena tutawaona mnavyodhalilika
Lile bunge la katiba lilisheheni wanasiasa watupu matokeo yake tuliyaona....hawa wataalamu nao...Kwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana.
Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba mpya lianze na wakati wa kuandika katiba hiyo wasijumuishwe Vyama vya Siasa na jukumu hili waachiwe Wanasheria ili tupate Katiba Mpya.
Ameendelea kusema kuwa tayari tunayo draft ya Warioba ambayo itawaongoza Wataalam hao kuja na Katiba mpya na nzuri na iliyoboreshwa. Binafsi ninaafiki mawazo yake.
Unafiki utabaki kuwa ni unafiki tu, hakuna jinsi nyie corrupted CCM mnaweza kujificha kwa hili. Hamtaki na mko tayari kupotosha kweli lazima mkemewe kwa ukali, unaweza kuniambia sababu gani ilikwamisha rasimu ya Warioba?ni jambo la maana sana kurelax unapozunguzia jambo hili muhimu sana kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania..
kujihesabia haki na kuhukumu wengine ni kujaribu kunyang'anya majukumu ya Mwenyezi Mungu, na hicho ni kiwango kibaya zaidi cha tamaa ya binadamu kwa mambo asiyoyaweza na yasiyo muhusu...
hata hivyo bado haina maana yoyote eti, unachokiona wewe ni upungufu na mwingine akaona ni sio upungufu unamkasirikia π€£
huo ni uking"ang"anizi useless na nonsense kabisaa..
katiba ya kuzungumzia vyeo na madaraka ya kisiasa si muhimu sanaa kwa sasa Tanzania, unless iwe imezingatia vipaumbele na maslahi mapana ya wananchi kama vile maji, elimu,afya, kilimo, miundombinu, biashara, uvuvi haki, uhuru na mahitaji mengine ya msingi , na sio muhemko, chuki na hizo ghadhabu na hasira za mkizi π
Hayo mahitaji muhimu ni life time, watu wanazaliana kila siku. Hilo la katiba ni one time.kwa maoni yangu nadhani suala la katiba sio muhimu kabisa kwa sasa ukilinganisha na yale mahitaj muhimu sana ya wananchi kama vile maji, afya, elimu, kilimo n.k ambayo ni muhimu zaidi
Lazima katiba hiyo mpya,Hayo mahitaji muhimu ni life time, watu wanazaliana kila siku. Hilo la katiba ni one time.
Hii iliyopo ndiyo ipo kwa manufaa ya wanasiasa zaidi.Lazima katiba hiyo mpya,
kabla ya mambo mengine yote, itengeneze na kuandaa mazingira ya uhakika ya mahitaji hayo muhimu ya lazima ya kibinadamu maji, afya, elimu kunafaisha wanadamu wa idadi yoyote hata kwa miaka mia5 ijayo,
hiyo ya vyeo na madaraka, halafu eti ndio iwe katiba mpya, ni upotoshaji. Hayo yatakua marekebisho tu kwa manufaa ya wanasiasa π
Katiba mpya ni kifo cha CCM, tume huru iliundwa sijui kikosi kazi kilichokuja kubadilika ni kuitwa tume huru ya uchaguzi badala ya tume ya uchaguziCCM hawatakaa wakubali, hawa Jamaa huwa hawapendi Amani
ni muhimu kufahamu bayana kwamba hakuna mahali mihemko, ghadhabu na kujihesabia haki kuliko mwingine inaweza kusaidia kuleta matokeo chanya hata siku moja...Unafiki utabaki kuwa ni unafiki tu, hakuna jinsi nyie corrupted CCM mnaweza kujificha kwa hili. Hamtaki na mko tayari kupotosha kweli lazima mkemewe kwa ukali, unaweza kuniambia sababu gani ilikwamisha rasimu ya Warioba?
Ni kuogopa kutoka madarakani kwa mijizi ya CCM, mwanao January alinukuliwa akisema katiba itakuletea ugali? Je siyo ulevi wa madaraka kuwakejeli watanzania huko?
Nyie wahuni tu mlaaniwe kwa kutaka kuiingiza nchi yetu kwenye shida sababu ya uroho wenu wa madaraka
Wewe ni mmoja kati ya wasiojua katiba ni nini, katiba ndiyo inayosimamia maisha yako ya kila kitu kuanzia asubuhi mpaka asubuhi, yaani haki yako ya kuishi na kupata mahitaji yako yote muhimu ya kila siku. Ndani ya katiba serikali inalazimika kuhakikisha unapata uongozi bora, maji safi na salama, chakula, elimu, huduma za afya, malazi bora na huduma za mawasiliano yanayokuwezesha kutoka sehemu moja kwenda nyingine, vyote hivi vinatekelezwa kutokana na kodi unayolipa serikalini.kwa maoni yangu nadhani suala la katiba sio muhimu kabisa kwa sasa ukilinganisha na yale mahitaj muhimu sana ya wananchi kama vile maji, afya, elimu, kilimo n.k ambayo ni muhimu zaidi