Naungana na Dkt. Lwaitama kuhusu Katiba Mpya

ndiyo hayo maisha yaelezwe humo kwenye katiba ndiyo iwe mpya,

uongozi tayari upo na hakuna upya kwenye hilo.. na hicho ndicho kinapoteza maana na upya wa hicho kinachoitwa katiba mpya πŸ’
 
ndiyo hayo maisha yaelezwe humo kwenye katiba ndiyo iwe mpya,

uongozi tayari upo na hakuna upya kwenye hilo.. na hicho ndicho kinapoteza maana na upya wa hicho kinachoitwa katiba mpya πŸ’
Yaelezwe vipi tena wakati tayari yamo, tatizo mnapenda muelezwe na kina Nchimbi badala ya kununua kitabu cha katiba kinachouzwa kwenye maduka ya vitabu.
 
Hayo ndio mawazo ya watu wenye Akili TIMAMU ,mlafi hawezi kuwa na mawazo kama hayo.wanasiasa hawawezi kututengenezea katiba hata siku moja.
 
Yaani wanasiasa wa CCM wanachekesha sana,yaani wao hawahitaji kauli za wananchi.Labda ipo siku watanzania kwa umoja wao tutauliza kwamba Hv mwananchi ni nani na jukumu lake na wajibu wake ni upi ktk Taifa hili.maana huwezi kuongozi serikali na hutaki watu wakuulize juu ya matumizi ya fedha zao au unatumia fedha za umma jinsi unavyijisikia. kwenye uchaguzi hutaki kushindwa pamoja na uduni wa mawazo na fikra ulionao,kazi yako ni kubaka uchaguzi na kulazimisha kutawala watu kinyume na matakwa ya MUNGU.CCM Mmeambiwa katiba hii ni mbovu hamtaki kusikia mmeweka pamba kwenye masikio sasa ngoja katiba hii hii ile kichwa kingine ndio Akili TIMAMU itawasogea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…