Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Mimi nashauri sana hawa watu waendelee kuishi maisha ya ndani ya kiapo sawa tu na wale ambao bado wapo ndani ya Serikali. Gossips hizi za kwenye mitandao zilishakuwa nje ya wigo wa kazi zao. Waendelee kutoa michango yao positive kwa viongozi wa nchi ili tuweze kusonga mbeleKigwangala anaonekana ni kati ya wale wanaume wambea, ana kiroho fulani cha korosho kusubiri mtu akosee ili amlaumu, lakini mtu huyo akipatia hayuko tayari kumpongeza.