GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Najua hamtapenda GENTAMYCINE kuja na hii Taarifa au mtashangaa nilijuaje ila nyie jueni tu kuwa The King of News / Info ninajua.
Wachezaji wetu Waandamizi Saba ( 7 ) Wawili ni Wageni na Mmoja wapo aliachwa akahamia Matajiri wa Alizeti na Wazawa Watano Mmoja ndiyo kaanza rasmi Mazoezi na Wenzake na Viongozi Waandamizi Wawili Mmoja amestaafu mambo ya Mpira ila mwingine yuko ( zamani alikuwa ni Mjumbe ) waliuza Mechi kwa Kupokea Fedha nyingi kutoka kwa Viongozi wa Jwaneng Galaxy FC pale Samaki Samaki Mlimani City.
Na safari hii GENTAMYCINE nitakuwa makini mno nanyi hasa ikifika Mchezo dhidi yao japo najua kwa sasa ndani ya Simba SC iliyo chini ya Mwekezaji na Rais wa Heshima Mohammed Ghullum Dewji Uhuni huu haupo lakini kuchukua tahadhari ni muhimu.