The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Ni kweli.Nimesoma maelezo yako. Ila situation ya jamaa ngumu. Apige kazi ili arejeshe mkopo kila wiki, hapo bado hajaweka fedha ya matumizi (ukute ana familia pia), pia gharama za uendeshaji bila kusahau siku mbaya kibiashara. Hii biashara inaweza kuwa reasonable kama angenunua cash na awe anafanya biashara mwenyewe. Katika vitu vingi vinavyofanya biashara nyingi za Bongo zife ni uaminifu wa wafanyakazi!
Kwa sisi tunaofanya mikataba mitaani huwa hesabu inakuja kila siku kumi akiongeza hapo zake mbili ila hizo za kampun huwa wanataka instantly kama wiki wiki siku kumi ni siku kumi hawataki maelezo hapa ndipo mkataba unapomuwia ugumu.
Angepewa fursa ya kusogea siku mbili mbele angeweza akatoboa.