Nauza Bata Bukini wenye miezi 8 wakiwa wamepatiwa chanjo zote

Nauza Bata Bukini wenye miezi 8 wakiwa wamepatiwa chanjo zote

Status
Not open for further replies.

Gily Gru

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
8,632
Reaction score
23,673
Nauza bata maji wako 8 kwa bei ya laki moja ya kitanzania (Tsh 100,000/-).
Bata wana miezi mitano, mmoja ana miezi nane hivi. .

Bei nauza kama bure haipungui hata senti moja.

20221120_113033.jpg
20221120_113052.jpg
 
Bata wako vaccinated
Nimetoka kuwapa chanjo ya mdondo week mbili zilizopita
Bata wana afya tele

Niko manzese sweetcorner
0714829688
 
Kwani hao Bata Wana Nini Cha ziada mpaka wauzwe bei yote hiyo ?
 
Hata ungeuza 10k sichukui....bora nitoe 20k pale shekilango nipate mtetea au jogoo la kienyeji lenye nyama ya maana.
 
Kumbe hujui bei ya hawa bata mzee wangu, [emoji23][emoji117]

hawa bata bei yake kikawaida huwa inafika mpaka 150k. Sijui huyu muuzaji kawaiba sehemu au ana shida imempata ghafla ana taka kusolve ndio maana ana wauza kwa bei hiyo ya kutupa. [LABDA]
Ah wapi .bata hawa wanauzwa 25 -30
 
Bata wana bei sana, sio hiyo migegedu mnayo ifuga kwenye mitaro ya maji machafu[emoji2959][emoji41]
JamiiForums1713186623.jpg
JamiiForums1034401589.jpg
 
Kumbe hujui bei ya hawa bata mzee wangu, [emoji23][emoji117]

hawa bata bei yake kikawaida huwa inafika mpaka 150k. Sijui huyu muuzaji kawaiba sehemu au ana shida imempata ghafla ana taka kusolve ndio maana ana wauza kwa bei hiyo ya kutupa. [LABDA]
Sishangai bei , nimeuliza Huwa wana Nini Cha ziada Labda ?
 
Siku hizi watu mmekuwa wa ajabu mtu akiuza kitu ni jambo la kushangaza?
Nina mifugo mingi inakuwa kazi kuhudumia ndio maana nauza kupunguza hawa bata
Sawa mkuu
 
Habari
Nauza bata bukini 6 kwa bei ya shillingi million moja (1,000,000). Bata wana umri wa miezi 8 na wana chanjo zote. .

Hawa bata nawajali sana nahakikisha wanakula kabichi na spinach kila siku. Nawanunulia chakula top quality ni wenye afya nzuri sana. Nauza wote sita siuzi mmoja mmoja kama unahitaji nicheki 0714829688. .

NIKO MANZESE SWEETCORNER
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom