digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu hao Bata Ni wako au wewe Ni dalali, weka picha tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndo unawauza 1M,?? [emoji3166]Bata ni wa kwangu, sina udalali wowote. Pia nauza na bata wa kawaida nimeweka uzi leo humu kwenye jukwaa la wafugaji. .
Hapo si bora kununua mbuzi au kondooHawa ndo unawauza 1M,?? [emoji3166]
Bei ya bata bukinu mkubwa ina range 120k - Kutokana na maeneo.Hawa ndo unawauza 1M,?? [emoji3166]
Niliko huku mbuzi wa sh 40,000 Ni yule akipata dume anapandwa na kuzaa, huyu jamaa ana utani Na 1M ,juzi nimeemda mnadani 200K unapata ng'ombe.Hapo si bora kununua mbuzi au kondoo
Nakushangaa sana ujueNiliko huku mbuzi wa sh 40,000 Ni yule akipata dume anapandwa na kuzaa, huyu jamaa ana utani Na 1M ,juzi nimeemda mnadani 200K unapata ng'ombe.
Jamaa hayupo serious kabisa... Bata 1M labda wangekuwa mbuniNiliko huku mbuzi wa sh 40,000 Ni yule akipata dume anapandwa na kuzaa, huyu jamaa ana utani Na 1M ,juzi nimeemda mnadani 200K unapata ng'ombe.
Bora masikini wa roho kuliko masikini wa akili wa kuuziwa Bata kwa sh 120K wakati Bata dume huku anauzwa sh 15K, hiyo 120K unapata mbuzi watatu na chenji inabakiShida kubwa ni kuwa masikini wa roho
Kuwa masikini sio kosa, ila kosa ukiwa masikini wa nafsi
USILOLIJUA LITAKUSUMBUA SANA. .
sawa basi nenda kanunue mbuziBora masikini wa roho kuliko masikini wa akili wa kuuziwa Bata kwa sh 120K wakati Bata dume huku anauzwa sh 15K, hiyo 120K unapata mbuzi watatu na chenji inabaki
Haya bwana tajiri Kika la kheri, ila ukipata mteja niite mbwa Niko pale nimekaa[emoji120][emoji120][emoji120]Nakushangaa sana ujue
Hujalazimishwa kuwanunua
Hujui chochote kuhusu hawa bata
Na wanakula kushinda hao mbuzi
nenda kanunue mbuzi hakuna aliyekuzuia
Hawa sio kwa ajili yako
Wangekuwa mbuzi wangekufaa wewe
jamaa umezingua sana. kama hutaki hii biashara sio poa kumuaribia mdau. wewe kanunue hao mbuzi wako mkuu hamna majotro.Haya bwana tajiri Kika la kheri, ila ukipata mteja niite mbwa Niko pale nimekaa[emoji120][emoji120][emoji120]