Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃😃Niliko huku mbuzi wa sh 40,000 Ni yule akipata dume anapandwa na kuzaa, huyu jamaa ana utani Na 1M ,juzi nimeemda mnadani 200K unapata ng'ombe.
Kwa mambo kama haya ndio maana tukiunganika East Africa wabongo hawatoboi. Wana roho za ajabu na kitu hakijui, nilityegemea angeuliza kwa nini wanauzwa ghali ivyo 🤣Acha ujinga hao bata wanauzwa hadi 200,000 kwa mmoja na soko kubwa ni kwa wachina
Sawa myHakuna aliyekulazimisha kununua sheikh
Wewe endelea kununua malaya tu ndo unachokijua 🤣
Shukrani mkuu nitawatafutaTafuta vifaranga uwafuge. Ila ununue kwa mtu aliyewapa chanjo za mwanzo
Bata hawa ni wazuri sana hutojutia hata kidogo kuwafuga
Tokapa na wewe. Wewe huwajui bata bukini. Wewe na mtoa thread wte mnashida.Hawa bata wanauzwa bei kwasababu wanasize kubwa sana. Bata m'moja tena dume, ukichinja sikukuu nyama yake ni nyingi kama mbuzi tu.
Sasa faida ya bata ni mayai yake pia anataga mayai ambayo unaweza benefit nje ya nyama. So faida ni nyingi kwa huyu bata. Wana nyama nyingi sana hawa na bata mzinga.
Hawa bata wanakula sana mbuzi haoni ndani
Mimi ni mchaga wa Rombo, plus mzee wangu anafuga mbuzi kibaha wa kutosha tu
Kilimo cha mbuzi naona hakina faida sana kwa sababu mbuzi tu wenyewe hana nyama alafu wanakula hatari
Hawa bata bukini ni wanatoka Japan na Canada, wanakuwa wakubwa tu
Kabla hawajaingia nchini sasa watu wanafuga kwa wingi mmoja alikuwa anauzwa laki 3, bata mmoja tu
Ni bata wazuri sana wanapendezesha majumba ya kitajiri
Bata hawa wengine wanakuwa wakali kama mbwa, hivyo kama mtu hapendi mbwa basi unakuta wanakuwa wakali kama unavyoona mbwa anavyokuwa mkali
Wafugaji wengi wanaamini pia wanafukuza wachawi
Wazuri sana, ni kivutio kikubwa ndani ya nyumba, na sio bata hawa wa kawaida tunaowaona huku mtaani. .
Shida yako nini ndugu?Tokapa na wewe. Wewe huwajui bata bukini. Wewe na mtoa thread wte mnashida.
Mara oonh wanafugwa na matajiri. Huyu mtoa thread kashindwa kumaliza nyumba anauza vitu anajiita tajiri.
Wanaliwa hawa wadudu??Hata miaka 20 hawa wanatoboa. .
Watu wengi wanashindwa bei tu ila wanawapenda sana. .
Hapana ni milioni yenye 0 sita, hiyo yako yenye 0 saba hatuijui
Google sifa za bata bukini au soma huu uzi toka mwanzo. Kwa kizungu anaitwa Goose (au Geese kwa wingi). .Hauwezi kusema kirahisi kuwa wanauzwa mil 1 wengine ukitaja bata tunawajua ni kama hawa bata wetu wanaokula mimavi.
Tutajie sifa kuu za hao bata kupelekea kuuzwa bei kubwa hivyo ili tushawishike kununua.
Wanaliwa sana na wahindi na wachina kwa huku bongoWanaliwa hawa wadudu??
Natamani tu nijue why wanauzwa ghali sana??
Niliwaona kule kigoma siku moja, madume yao yana wivu balaa
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tokapa. Hao wanauza pair 350,000.Kila pair 350000 maana yake dume na jike anauza 350000 wote jumla ni laki 7. .
Ina maana wa kwangu ningeuza kama anavyouza huyu ningetakiwa niuze 1,050,000/-
Nimeandika kuwa hao wanauzwa pair wawili 350000 au wewe unasomaje?Tokapa. Hao wanauza pair 350,000.
Dume na jike.
Na saiv yupo jamaa anauza 150,000 kwa mmoja.
Mimi nimefuga sana mataka taka hayo kama urembo. Nilipohama nyumba sikuwawekea uzio wao. Wanachafua parving zote hao. Nawajua A-Z .