Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Bongo ni nchi iliyojaa masikini wenye sifa ya uchoko[emoji1] mtu hawajui hata hao bata bado anabisha bei
Mtu akisikia tu bata basi wazo linamjia wale bata mavi wa huko ngurumo
Shida ni umasikini wa roho. Kuwa masikini sio kosa. Umasikini wa roho ni kuona mwenzako anapataBongo ni nchi iliyojaa masikini wenye sifa ya uchoko[emoji1] mtu hawajui hata hao bata bado anabisha bei
Mtu akisikia tu bata basi wazo linamjia wale bata mavi wa huko ngurumo
Naomba kusamehewa[emoji120][emoji120]jamaa umezingua sana. kama hutaki hii biashara sio poa kumuaribia mdau. wewe kanunue hao mbuzi wako mkuu hamna majotro.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Bado mkuuUshaanza kushusha fumanzi la mama mkwe part two?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sawa masterUsitusubirishe sana [emoji1787]
[emoji1787]
Hawa bata wanakula sana mbuzi haoni ndaniNaomba kusamehewa[emoji120][emoji120]
Bora masikini wa roho kuliko masikini wa akili wa kuuziwa Bata kwa sh 120K wakati Bata dume huku anauzwa sh 15K, hiyo 120K unapata mbuzi watatu na chenji inabaki
Acha ujinga hao bata wanauzwa hadi 200,000 kwa mmoja na soko kubwa ni kwa wachinaHaya bwana tajiri Kika la kheri, ila ukipata mteja niite mbwa Niko pale nimekaa[emoji120][emoji120][emoji120]
Atapata amini nakwambia, angekuwa anauza mmoja mmoja ningejipiga nichukue hata wawili. Hawa sio bata wa kiswahili na wakikua ni wakubwa kuliko hao bata wako, waweke kundi moja na mbwa wa kizungu ambao kitoto cha miez 3 kinauzwa kuanzia laki 8 huko.Haya bwana tajiri Kika la kheri, ila ukipata mteja niite mbwa Niko pale nimekaa[emoji120][emoji120][emoji120]
Hapana ni milioni yenye 0 sita, hiyo yako yenye 0 saba hatuijuiMilioni hii hii tunayo ijuwa yenye sifuri saba ama?
SanaKumbe bata gharama hivi?
Bata mavi wa ngurumo[emoji16]Bongo ni nchi iliyojaa masikini wenye sifa ya uchoko[emoji1] mtu hawajui hata hao bata bado anabisha bei
Mtu akisikia tu bata basi wazo linamjia wale bata mavi wa huko ngurumo
Hatununui SasaShida kubwa ni kuwa masikini wa roho
Kuwa masikini sio kosa, ila kosa ukiwa masikini wa nafsi
USILOLIJUA LITAKUSUMBUA SANA. .
Hawa bata wanauzwa bei kwasababu wanasize kubwa sana. Bata m'moja tena dume, ukichinja sikukuu nyama yake ni nyingi kama mbuzi tu.Bora masikini wa roho kuliko masikini wa akili wa kuuziwa Bata kwa sh 120K wakati Bata dume huku anauzwa sh 15K, hiyo 120K unapata mbuzi watatu na chenji inabaki
Sikujua Mkuu,Hawa bata wanauzwa bei kwasababu wanasize kubwa sana. Bata m'moja tena dume, ukichinja sikukuu nyama yake ni nyingi kama mbuzi tu.
Sasa faida ya bata ni mayai yake pia anataga mayai ambayo unaweza benefit nje ya nyama. So faida ni nyingi kwa huyu bata. Wana nyama nyingi sana hawa na bata mzinga.