Ni bata ambao ufugaji wake ni mrahisi pia hata ukuwaji wake ni mzuri, wanakula zaidi majani mf kabichi,spinach,ukokoka,majani ya migomba. wanapendelea sana kuogelea na niwasafi sana utakapo wa fuga unashauriwa uwawekee mahala wapate kuogelea, ni Bata wa aiana ambayo wana umoja sana kipindi chote hasa wakati wa kulalia na kukuza vifaranga. Na ni walinzi wazuri wa familia na mazingira ya Nyumbani pindi waonapo mgeni hutoa taarifa kwa njia ya sauti ya juu. Nakushauri nunuwa vifaranga wa mwezi mmoja kwenda juu ndio uanze nao itakusadia kuweza kuwatambuwa vyema.