Waibi fredy
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 194
- 227
Mhm.! Kuna migogoro au?Hayo maeneo ya huko nashauri mnunuzi mkakabidhiane hati wizara ya ardhi na waziri akishuhudia.
Hiyo bei inasitua kdgo, usije ukaliza mtu kua wazi kwa mununuzi.Habari za majukumu wapendwa
Nina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi
eneo lina hati ya mauziano linatambulika na serikali za mtaa. Pleas kama upo interested unaweza ukanicheki kwenye namba zangu +2557151603650/+255698170582
urgently
Una mkodisha Silaa hata kama amehamishwa wizara aje kuwa shahidi wakoHayo maeneo ya huko nashauri mnunuzi mkakabidhiane hati wizara ya ardhi na waziri akishuhudia.
Bagamoyo kimbia mbio zote miguu iguse na kisogo kabisa😂😂Eneo kubwa, hivi Countrywide hili eneo likoje unapajua?
Kuna jamaa yangu alilizwa hukoHayo maeneo ya huko nashauri mnunuzi mkakabidhiane hati wizara ya ardhi na waziri akishuhudia.
YES JAMBO ZURI ILA AKIITAJI SWALA LINAANZIA CHINIHayo maeneo ya huko nashauri mnunuzi mkakabidhiane hati wizara ya ardhi na waziri akishuhudia.
AISE KAZI IPOBagamoyo kimbia mbio zote miguu iguse na kisogo kabisa😂😂
SAWAKuna jamaa yangu alilizwa huko
Hadi nyie mmepashindwa mkuu😂Bagamoyo kimbia mbio zote miguu iguse na kisogo kabisa😂😂
Huko Bagamoyo tulishapata kuambiwa ardhi nyingi ina changamoto za kimauziano na umilikiNina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi
Halafu jina la kijiji ni MkengeHiyo bei inasitua kdgo, usije ukaliza mtu kua wazi kwa mununuzi.
Kwanini tena Kiongozi??Hayo maeneo ya huko nashauri mnunuzi mkakabidhiane hati wizara ya ardhi na waziri akishuhudia.
Bagamoyo huko acha kabisa hata uwe mjanja kiasi gani hata uwe mkubwa vipi unaweza pigwa huku unajionaHadi nyie mmepashindwa mkuu😂