Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
๐๐๐Vile unanunua kiwanja muuzaji anakwambia anaishi Kigamboni.
Dalali wa Madale.
Mwenyekiti wa mtaa wa mchongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Vile unanunua kiwanja muuzaji anakwambia anaishi Kigamboni.
Dalali wa Madale.
Mwenyekiti wa mtaa wa mchongo.
Sawa, bei gani?Mgeninan au kijichi kupata maeneo chini ya milion 10 uongo
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Countrywide umesikia hii?Bagamoyo kuna hadi ofisi fake za serikali ya Mtaa, yani unakuta nyumba imeandikwa ofisi ya serikali ya kijiji na bendera ya taifa inapepea lakini kumbe wahuni wanakupiga
Natoa siri soon huu mjadala wa kijichi ukiendelea๐๐Kijichi sehemu gani? Tatizo shem nawe janja janja nyingi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Maeneo ya shule moja inaitwa St. Theresi au St. Mary's sister. Ukipanda gari za kigambonj unashuka kanisani. Maeneo yamepangika vizur kabisa yani wewe tuKijichi sehemu gani? Tatizo shem nawe janja janja nyingi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Bagamoyo ni nchi nyingine ile๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ Countrywide umesikia hii?
Nimekimbiza mteja bila kujua. Ila ww 3.5 sio issue kwako๐๐๐๐ Bora umenisanua bae
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Tulia mi nataka kumiliki plot kijichi nasikia ushuani huko.!Natoa siri soon huu mjadala wa kijichi ukiendelea๐๐
Kichwa changu kinahifadhi madili ya pesa tu sio haya mengine๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Million 38? ๐Maeneo ya shule moja inaitwa St. Theresi au St. Mary's sister. Ukipanda gari za kigambonj unashuka kanisani. Maeneo yamepangika vizur kabisa yani wewe tu
Yes napajua. Inawezekana ofcourse miaka inayokuja hasa Bagamoyo ikikuwa panaweza badilika. Kuna jamaa yangu alinunua miaka 10 iliyopita ana mlinzi tu wa kulinda shambaKumbe una pajua? Ardhi ina Rutuba?
Tuache kuadharau Ardhi wazee wa zamani wanasema. miaka 40 iliyopita Tegeta na Boko kulikuwa pori kubwa sana.
Mtu ukinunua ardhi kule watu walikuwa wanakushangaa.
Leo hapashikiki imebaki historia
๐๐๐ Mpaka na bendera ya nchi inapepea ofisiniBagamoyo ni nchi nyingine ile๐
Heka 3 kwa million 3 ningeuza hata figo, sema ndio hivyo kuna matapeli basi ๐๐๐Nimekimbiza mteja bila kujua. Ila ww 3.5 sio issue kwako๐
Kama ilimradi ndani ya wilaya ya kigamboni vipo Hadi vya mil 1 na nusu wewe tuu tena vikubwa,nguvu yako tuu ya kufyeka maporiMhmm!! Kigamboni sehemu gani hiyo??
Vipi kijichi nako vipo?
Ah ushaanza sasa! Kalaga bahoMillion 38? ๐
He! He! ๐๐Kama ilimradi ndani ya wilaya ya kigamboni vipo Hadi vya mil 1 na nusu wewe tuu tena vikubwa,nguvu yako tuu ya kufyeka mapori
Tundwi songani mbali sana asee. Wew unataka kwenda City center upande gari ngapi mbona sikuelewi bos? Bos mama! Bos lady! Bos langu.. kuja inbox ndo umegoma. Tujadili hapahapa bosHe! He! ๐๐
Huko si unaweza kuwa karibu na kimbiji
๐๐ hamna shem mi napataka kweli huko.!!Ah ushaanza sasa! Kalaga baho
Gari moja bana, nataka nikitoka kkoo moja kwa moja home.. nikija inbox bei inashuka? ๐นTundwi songani mbali sana asee. Wew unataka kwenda City center upande gari ngapi mbona sikuelewi bos? Bos mama! Bos lady! Bos langu.. kuja inbox ndo umegoma. Tujadili hapahapa bos
Ewaaaaaaa! Bei iko palepale mzee baba mana tumekubalian familia nzima. Pale kwetu kuja kariakoo nauli 650 tu. Eneo ni strategic ila kama unataka ya bei chee nikupe namba ya dalali.Gari moja bana, nataka nikitoka kkoo moja kwa moja home.. nikija inbox bei inashuka? ๐น
Hii convo yenu hatari๐Gari moja bana, nataka nikitoka kkoo moja kwa moja home.. nikija inbox bei inashuka? ๐น