Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mshagawanya likiuzika kila mtu pasu kwa pasu.!! 🤣🤣🤣Ewaaaaaaa! Bei iko palepale mzee baba mana tumekubalian familia nzima. Pale kwetu kuja kariakoo nauli 650 tu. Eneo ni strategic ila kama unataka ya bei chee nikupe namba ya dalali.
Mm tuzungumze la kwetu tu mengine sina asee. Au tukiuzie lile la jamaa yangu wa mwasonga mambo yasiwe mengi
Hamna mtu wa kati kati? Hati si ipo lakini??
Mi mkinga nataka niwape mkononi sitaki mambo ya kuingiza pesa bank.!