Plot4Sale Nauza eneo langu lipo Mkenge heka 3 price 3.5m

Plot4Sale Nauza eneo langu lipo Mkenge heka 3 price 3.5m

Habari za majukumu wapendwa

Nina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi

Eneo lina hati ya mauziano linatambulika na serikali za mtaa. Pleas kama upo interested unaweza ukanicheki kwenye namba zangu +2557151603650/+255698170582
urgently
Dah umenikumbusha Fukayosi, yaani huko mbali balaa, hakuna dalili ya maendeleo na wana bambikiana sana huko maeneo
 
Dah umenikumbusha Fukayosi, yaani huko mbali balaa, hakuna dalili ya maendeleo na wana bambikiana sana huko maeneo
Kumbe una pajua? Ardhi ina Rutuba?

Tuache kuadharau Ardhi wazee wa zamani wanasema. miaka 40 iliyopita Tegeta na Boko kulikuwa pori kubwa sana.

Mtu ukinunua ardhi kule watu walikuwa wanakushangaa.

Leo hapashikiki imebaki historia
 
Back
Top Bottom