Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
🤣😂Mnaosema mtaingizwa mkenge. Mwaka 2055 wajukuu wenu watasema " babu yangu wakati wenzake wananunua ardhi yeye alikuwa anasema watapigwa" 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣😂Mnaosema mtaingizwa mkenge. Mwaka 2055 wajukuu wenu watasema " babu yangu wakati wenzake wananunua ardhi yeye alikuwa anasema watapigwa" 😂
Jamaa wapambqnaj sana nimewakuta Malawi January masoko makubwa kama wako kariakooo achakabisaa😂😂😂😂 Ushaanza kupanga matumizi kabisaa.!!
Zikiisha muanze kusema wakinga wana pesa za majini!! 🤣
Aisee nime cheka sanaHaki ya mungu yani. Mm nataka nikajitegemee mbele kwa mbele mana kuishi kama nyoka nishachoka. Lete hela hiyo Lamomy. Nakuahidi milion 1 nitaitumia na mdogo wa wako wa kike kwenda nae zanzibar kabla sijaanza mambo ya maendeleo binafsi
Uongo wenzio wote wanasema kuna migogoro huko mpk ofisi fake za mtaa zipo.Fukayosi ipo Barabara ya Bagamoyo na Morogoro.
Mkenge ni Kijiji kipo Kata ya Fukayosi. Ni pazuri kwa kilimo na hakuna migogoro ya ardhi.
Uongo wenzio wote wanasema kuna migogoro huko mpk ofisi fake za mtaa zipo.
Kwa bagamoyo bora uje kulaumiwa na wajukuu..kuliko kuja kuwa hadithia jinsi ulivyopigwa.Mnaosema mtaingizwa mkenge. Mwaka 2055 wajukuu wenu watasema " babu yangu wakati wenzake wananunua ardhi yeye alikuwa anasema watapigwa" 😂
Fb tena? Huko si ndo kuna ma tp shindikanaa 😂😂Haya basi mengine Haya hapaView attachment 3099764View attachment 3099765View attachment 3099767View attachment 3099768
Pale Vigwaza Kuna rafiki yangu anauza eneo lake. Amekuwa akiniomba nimtafutie wateja.Fb tena? Huko si ndo kuna ma tp shindikanaa 😂😂
We jamaa unafurahisha eti hobby unauujua utapeli uliopo kwenye viwanjaPale Vigwaza Kuna rafiki yangu anauza eneo lake. Amekuwa akiniomba nimtafutie wateja.
Lakini nikimwambia mtu Kuna eneo linauzwa anaanza kuleta habari za kutapeliwa.
Nilichogundua, utapeli siyo kikwazo cha kununua ardhi, bali ni kwamba siyo kila mtu ana hobby ya kununua ardhi.
We jamaa unafurahisha eti hobby unauujua utapeli uliopo kwenye viwanja