Plot4Sale Nauza eneo langu lipo Mkenge heka 3 price 3.5m

Dah umenikumbusha Fukayosi, yaani huko mbali balaa, hakuna dalili ya maendeleo na wana bambikiana sana huko maeneo
 
Dah umenikumbusha Fukayosi, yaani huko mbali balaa, hakuna dalili ya maendeleo na wana bambikiana sana huko maeneo
Kumbe una pajua? Ardhi ina Rutuba?

Tuache kuadharau Ardhi wazee wa zamani wanasema. miaka 40 iliyopita Tegeta na Boko kulikuwa pori kubwa sana.

Mtu ukinunua ardhi kule watu walikuwa wanakushangaa.

Leo hapashikiki imebaki historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…