Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
πππVile unanunua kiwanja muuzaji anakwambia anaishi Kigamboni.
Dalali wa Madale.
Mwenyekiti wa mtaa wa mchongo.
Sawa, bei gani?Mgeninan au kijichi kupata maeneo chini ya milion 10 uongo
π€£π€£π€£ Countrywide umesikia hii?Bagamoyo kuna hadi ofisi fake za serikali ya Mtaa, yani unakuta nyumba imeandikwa ofisi ya serikali ya kijiji na bendera ya taifa inapepea lakini kumbe wahuni wanakupiga
Natoa siri soon huu mjadala wa kijichi ukiendeleaππKijichi sehemu gani? Tatizo shem nawe janja janja nyingi π€£π€£π€£
Maeneo ya shule moja inaitwa St. Theresi au St. Mary's sister. Ukipanda gari za kigambonj unashuka kanisani. Maeneo yamepangika vizur kabisa yani wewe tuKijichi sehemu gani? Tatizo shem nawe janja janja nyingi π€£π€£π€£
Bagamoyo ni nchi nyingine ileππ€£π€£π€£ Countrywide umesikia hii?
Nimekimbiza mteja bila kujua. Ila ww 3.5 sio issue kwakoππππ Bora umenisanua bae
π€£π€£π€£ Tulia mi nataka kumiliki plot kijichi nasikia ushuani huko.!Natoa siri soon huu mjadala wa kijichi ukiendeleaππ
Kichwa changu kinahifadhi madili ya pesa tu sio haya mengineππππππππππ
Million 38? πMaeneo ya shule moja inaitwa St. Theresi au St. Mary's sister. Ukipanda gari za kigambonj unashuka kanisani. Maeneo yamepangika vizur kabisa yani wewe tu
Yes napajua. Inawezekana ofcourse miaka inayokuja hasa Bagamoyo ikikuwa panaweza badilika. Kuna jamaa yangu alinunua miaka 10 iliyopita ana mlinzi tu wa kulinda shambaKumbe una pajua? Ardhi ina Rutuba?
Tuache kuadharau Ardhi wazee wa zamani wanasema. miaka 40 iliyopita Tegeta na Boko kulikuwa pori kubwa sana.
Mtu ukinunua ardhi kule watu walikuwa wanakushangaa.
Leo hapashikiki imebaki historia
πππ Mpaka na bendera ya nchi inapepea ofisiniBagamoyo ni nchi nyingine ileπ
Heka 3 kwa million 3 ningeuza hata figo, sema ndio hivyo kuna matapeli basi πππNimekimbiza mteja bila kujua. Ila ww 3.5 sio issue kwakoπ
Kama ilimradi ndani ya wilaya ya kigamboni vipo Hadi vya mil 1 na nusu wewe tuu tena vikubwa,nguvu yako tuu ya kufyeka maporiMhmm!! Kigamboni sehemu gani hiyo??
Vipi kijichi nako vipo?
Ah ushaanza sasa! Kalaga bahoMillion 38? π
He! He! ππKama ilimradi ndani ya wilaya ya kigamboni vipo Hadi vya mil 1 na nusu wewe tuu tena vikubwa,nguvu yako tuu ya kufyeka mapori
Tundwi songani mbali sana asee. Wew unataka kwenda City center upande gari ngapi mbona sikuelewi bos? Bos mama! Bos lady! Bos langu.. kuja inbox ndo umegoma. Tujadili hapahapa bosHe! He! ππ
Huko si unaweza kuwa karibu na kimbiji
ππ hamna shem mi napataka kweli huko.!!Ah ushaanza sasa! Kalaga baho
Gari moja bana, nataka nikitoka kkoo moja kwa moja home.. nikija inbox bei inashuka? πΉTundwi songani mbali sana asee. Wew unataka kwenda City center upande gari ngapi mbona sikuelewi bos? Bos mama! Bos lady! Bos langu.. kuja inbox ndo umegoma. Tujadili hapahapa bos
Ewaaaaaaa! Bei iko palepale mzee baba mana tumekubalian familia nzima. Pale kwetu kuja kariakoo nauli 650 tu. Eneo ni strategic ila kama unataka ya bei chee nikupe namba ya dalali.Gari moja bana, nataka nikitoka kkoo moja kwa moja home.. nikija inbox bei inashuka? πΉ
Hii convo yenu hatariπGari moja bana, nataka nikitoka kkoo moja kwa moja home.. nikija inbox bei inashuka? πΉ