Nauza mashuka mazuri, karibu nikuhudumie

Wapendwa karibuni mali mpya. Shuka 2 feet 8/8 na foronya nne. Elfu 55.
Ya watoto shuka 1 na foronya 2 elfu 25.
Mashuka ni cotton kabisa.

Napatika Dar-Magomeni usalama

0788429043 / 0712312706 - whatsapp

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20190102-101727_Instagram.jpeg
    46.8 KB · Views: 58
  • IMG_20190102_104355_015.jpeg
    85.6 KB · Views: 54
ma duvet unayo?
Hapana sina ndugu. Unaweza wachek cotoon empire duka lao moja wapo lipo mtaa wa msimbazi upande wa kushoto kama unaenda fire.
Ila pia maduka mengi kkoo wanayo hii set, na unaweza pata kwa 70 -75. Ukiipata kazi yako itakuwa ni kubadili duvet cover tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashuka mazuri dear na bei nzuri pia ngoja nichukue namba ntakutafuta nkimaliza ada, mimi ni mpenzi wa mazhuka sana na huwa nayanunua kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…